Watu wengi hatupati mahusiano mazuri sababu tunawakataa /hatuwataki wanaotupenda kweli!

Karma ipo ila maisha yanaendelea
 
Hakuna kitu kama hicho katika uhalisia wa asili ya maisha ya binadamu.

Mwanaume anatakiwa kupenda mwanamke na mwanamke anatakiwa kuwa submissive kwa mwanaume. Hii formula ikiheshimiwa tu vilio vitapungua.

Shida sasa wanawake wanatumia software ya kiume kufanya maisha. Wanavaa kama wanaume, wanaongea kama wanaume,wanavutiwa na wanawake wenzao kama wanaume,wanaleta wivu wa kiume kwenye mahusiano, wanataka kutafuta na kumiliki mali kama wanaume, katika mazingira hayo ni ngumu kuwa na balance ya asili ya kimahusiano.

Ndio maana miaka ya nyuma kulikuwa na utulivu sababu wanawake waliishi kwa kanuni za asili sio kama sasa. Umempenda binti unakwenda kukutana na wazazi wake unachukua mke unakwenda kuanza life,hakuna habari za "Mimi huyu mwanaume hajanivutia au sijampenda" utampenda mbele ya safari. Wewe unapenda mwanaume kivipi wakati ndani sukari ikiisha akashindwa kununua tayari unamuona takataka ila wewe hata usiwe na mia mfukoni mwanaume atakupenda na kuweka rehani mali zake wewe uwe na maisha.

Turejee kanuni kelele zitaisha
 
Tatizo ni kwamba hao wanao kuvutia pia na wao hawavutiwi na ww utajirahisha kwao wataishia kukuchezea tu wakitaka kuoa wanaenda kwa wanawake ambao wanawavutia na ww una achwa kwenye mataa.Mwisho wa siku unarudi kwa wanaume hao hao uliyo kuwa unawakataa kwa nadai ya kutovutiwa nao ,na wenyewe unakuta hawakuhitaji tena unaishia kuwa single mothers sugu wa kila mtoto na baba yake na kuishia kuita wanaume mbwa.
Pia kwa wanaume wapo ambao walisha wakataa wanawake sahihi kwa kigezo cha kutovutiwa nao mwisho wa siku wakaenda kuangukia kwa makurumbembe wakapigwa matukio ,wakarudisha majeshi kwa walio wakataa mwanzo na penyewe wakakuta wamechelewa.

Kiufupi kwenye kutafuta mwenza wa maisha huwa inahitajika akili badala ya hisia iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume tofauti na hapo utaishi maisha ya majuto.
 
Ukisikia mwanamke anaongelea kumpenda mwanaume mara nyingi huwa ni ujinga mtupu. Tazama mahusiano ya mwanamke kumpenda mwanaume zaidi kuliko mwanaume anavyompenda yeye huwa yanaishia wapi?
 
Sawa
 
Ukisikia mwanamke anaongelea kumpenda mwanaume mara nyingi huwa ni ujinga mtupu. Tazama mahusiano ya mwanamke kumpenda mwanaume zaidi kuliko mwanaume anavyompenda yeye huwa yanaishia wapi?
Inategemea umependa mwanaume wa aje me kwangu maisha yanaenda and naenjoy pia life is too short siwezi kujikatili nafsi kwa kuwa na mtu ambae yani hata hakuna kitu nafurahia kwake
 
Nimepitia kupitia demu alitaka, mwanaume mwenye umbo kubwa,course mimi ni mwembamba, mrefu wastani yeye alitaka mrefu sana ety apate watoto warefu

Mara akawa anasema sijui kuvaa,
 
Mkuu wangu, uache ubaguzi,

Huenda kwenye hao wachache waliokupenda alikuwepo mke wako

Kuhusu akili ya kuhandle maisha iyo ni responsibility yako mwanaume, ke yeye ni kupika , kuzaa, kuwa mlinzi wa nyumba basi
 
Mm nimejiweka kwenye nafasi ya mwanamke anaye chagua mwenza wa maisha, kama mimi ni mwanamke kigezo changu cha kwanza kwa mwanaume ni kipato cha kuweza kunihudumia mm na watoto nitakao wazaa sio nachagua mwanaume ili kesho nije nishinde natembeza sinia la karanga stend ili kulisha watoto baada ya baba yao kukimbia majukumu.

Mkuu kwani masikini huwa hawasaritiwi bali wanao salitiwa ni wenye hela tu?
Malaya huwa hana sababu ya msingi ya kufanya umalaya wake hayo mengine huwa ni kisingizio cha kuhalalisha umalaya wake tu.
Huyo mwanamke wa mtu uliye kuwa unafanya naye uzinzi mme wake angekuwa ana muachia 5000 kwa siku bado angefanya umalaya kwa kisingizio cha mme wake hamuachii hela ya kutosha ya matumizi.

Na ndio maana kwenye koment yangu nimesema kati kitu cha muhimu cha kuzingatia kwa mwanamke kabla ya kumuoa ni past yake ya nyuma kama kipindi chake cha ujana alikuwa ni malaya usitegemee eti ataacha umalaya wake kisa kumuachia laki 2 kila siku, hatoacha umalaya wake eti kisa unamuonesha mapenzi ya kihindi hatoacha umalaya wake eti kwa sababu unakaa juu ya kifua chake kwa saa zima.
 
Nakumbuka nilimuacha demu wa lasaba, nikawa nataka msomi mwenzangu baadae nakuja kusikia anabomolewa kibumbu na lecturer wetu ambae kwetu ni baba Yan yule lecturer ananizidi miaka 28 demu anazidiwa miaka 30 na yule lecturer

mbona, nilipata weweseko๐Ÿฅถ
 
Inategemea umependa mwanaume wa aje me kwangu maisha yanaenda and naenjoy pia life is too short siwezi kujikatili nafsi kwa kuwa na mtu ambae yani hata hakuna kitu nafurahia kwake
Tatizo na huyo aliye na kitu unacho kifurahia kwake na yeye hana anacho furahia kutoka kwako ila yupo nawe kama kipozeo chake cha nyege tu.
 
Kilaza ana uwezekano mkubwa wa kuzaa vilaza.

Sitaki kuja kuitwa shuleni kila wakati eti kisa mtoto hajafikisha wastani wa shule.
Sasa mkuu, point yako ni ipi, how come mtu umuite kilaza unajua ni nini ilifanya akafeli mkuu,

Mimi huwa nauliza, kwanini mtu ameishia form two, three au four
Unakuta mtu alikuwa anakosa kazi ya kufanya
 
Ni kweli pesa sio mapenzi, hata mimi nina ushuhuda wa wake za watu kadhaa wanaohudumiwa vizuri ila wanatoka nje.
 
Case closed.
 
You nailed it bro.

Mambo yakiwa hivi hata chama chetu tukufu cha KATAA NDOA kitajifia a natural death
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ