Watu wengi hatupati mahusiano mazuri sababu tunawakataa /hatuwataki wanaotupenda kweli!

Itawezekanaje mkuu, wakati elimu dunia imeshika haramu, sasa kila kitu ni vice versa

Unakuta Adam ana miaka 26 Eva ana miaka 45🀣Sasa najiuliza hivi kama Eva alitoka ubavuni mwa Adam iweje Eva awe mkubwa kuliko Adam.
 
Nimepitia kupitia demu alitaka, mwanaume mwenye umbo kubwa,course mimi ni mwembamba, mrefu wastani yeye alitaka mrefu sana ety apate watoto warefu

Mara akawa anasema sijui kuvaa,
Hili mbona kama limdnikuta namimi mkuu yani kuna dem nilimtongoza akakubali vzr so baada ya kuanza mahusiano dem akaanza kunicritsm mara mimi mfupi, sipo smart mara nina pua kubwa, mara aniambie nimekonda sana mara sina mavazi ya kutosha pia sina boxa et navaa bukta za wazee mkuu nlijiskia vbaya sana kumbe dem kwangu alikuwa kimkakati tu mwisho wa siku tukaachana
 
Kigezo Chako hata mimi nimekikubalikwa sababu ni imebeba gamba la nje kabisa la maisha...Mwanaume lazima awe na uwezo ila hawa wanaochagua maumbo ni hatari sana.
 
Kmmke ety unapua kubwa "ungemfila" asingeleta hiyo kiburi
 
🀣🀣
 
Kigezo Chako hata mimi nimekikubalikwa sababu ni imebeba gamba la nje kabisa la maisha...Mwanaume lazima awe na uwezo ila hawa wanaochagua maumbo ni hatari sana.
Nilikuwa nachagua maumbo kama mara kadhaa, niliishiwa kunyang'anywa na wenye power ya mali πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…