Watu wengi hatupati mahusiano mazuri sababu tunawakataa /hatuwataki wanaotupenda kweli!

Kigezo Chako hata mimi nimekikubalikwa sababu ni imebeba gamba la nje kabisa la maisha...Mwanaume lazima awe na uwezo ila hawa wanaochagua maumbo ni hatari sana.
Kwenye uhalisia wa ulimwengu wa sasa kipato ni muhimu sana kwa mwanaume hizo nyingine za sijui mapenzi ya kweli ni hadithi za kwenye tamthiria za kituruki.

Hata zamani kwenye kuoa mwanamke mwanaume aliye kuwa anapewa kipaumbele ni yule mwenye ngombe wengi.
 
Dah mara nchi 12, mara pesa, nyingi , mara cheo, sasa kipi ni kipi
 
Mwanamke hampendi mwanaume utapotea njia
 
Wafilipino 13:3
 
Formula sii hapo juu umeitoa
 
Mapenz ni Kam pesa t"pesa hukaa penye pesa,vivyo hvyo na mapenzโค๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ