Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

Unaomba mungu akupe mke mwema wakati huo huo unawachakata wake wa wenzako, unaomba mungu akupe pesa wakati huo huo ukipata laki moja tu unashindwa kujimiliki ww binafsi, unaomba mungu akupe afya wakati una risk maisha yako Kwa pombe Kali, uzinzi, ulevi nk...
 
Back
Top Bottom