African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael.
Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na Yanga, yahani mamia kwa maelfu ya watu wanapoteza maisha lakini kuna watu wanaleta utani wa kitoto, ndugu zangu hakuna binadamu aliyezaliwa ni muisilamu au mkristo, sisi sote ni binadamu ikitokea mpalestina amekufa aliyekufa ni binadamu the same kwa waisrael, tuache ushabiki wa kipuuzi na tuangalie maisha ya watu sio vizuri kuona mamia ya watu wanakufa sababu ya interest za watu Fulani.
Hivi vita mmevifanya kua itikadi za kidini, waisilamu wanawaunga mkono wapalestina, wakristo wanawaunga mkono waisrael yahani ni upuuzi kwa kwenda mbele.
Ukweli ambao wengi hamuujui ni kwamba ilo taifa la waisrael ambalo mnasema ndio taifa teule la mungu halina uhusiano wowote na wale waisrael walioandikwa kwenye bibilia zenu, ili ni taifa la mchongo ambalo limeanzishwa na nchi za magharibi wakiongozwa na Marekani kwa lengo la kuficha bahadhi ya vitu na kuwapumbaza watu wasiweze kujua waisrael halisi ni watu gani.
Kuna watu wapo serious kweli wakiamini kwamba hawa ni waisrael, kweli nimehamini lile andiko lisemalo watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa