matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kama umeshindwa kuelelezea wakati wa kuanzia ha uzi maelezo mapya utayatoa wapi Mbona kama hujajiandaa.Nitarudi kuwajulisha taifa halisi la Israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeshindwa kuelelezea wakati wa kuanzia ha uzi maelezo mapya utayatoa wapi Mbona kama hujajiandaa.Nitarudi kuwajulisha taifa halisi la Israel
Waisraeli wengi kitambo hicho wamekimbilia Afrika, tena Afrika mashariki/ mashariki mwa Afrika.Waisrael halisi walijichanganya na weusi wenzao baada ya uvamizi wa mwaka 70AD, Yesu aliwatabiria hivi:
20 Lakini, hapo mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, ndipo jueni ya kwamba uharibifu wake umekaribia.
21 Ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani, na walio katikati yake wakimbilie nje, na walio katika mashamba wasiuingie.
22 Kwa kuwa siku hizo ndizo za mapatilizo, ili yatimizwe yote yaliyoandikwa.
23 Ole wao wenye mimba na wanaonyonyesha katika siku hizo! Kwa kuwa kutakuwa na shida nyingi katika nchi, na hasira juu ya taifa hili.
24 Wataanguka kwa ukali wa upanga, nao watatekwa nyara na kuchukuliwa katika mataifa yote; na Yerusalemu utakanyagwa na Mataifa, hata majira ya Mataifa yatakapotimia.
Wait usiwe na haraka, hii ni jambo linahitaji utulivu wa hali juu, kwani si jambo dogo kuja kuwaelewesha watu waliodanganywa kwa miongo kadhaa kuhusu jambo Fulani na wakuelewe, so nahitaji kuja polepoleKama umeshindwa kuelelezea wakati wa kuanzia ha uzi maelezo mapya utayatoa wapi Mbona kama hujajiandaa.
Soon nitakuja kuwaambia taifa halisi la Israel, just waitNikadhani labda na wewe mtoa mada unalijua vizuri hilo Taifa utuambie, kumbe nawe hujui kama hao uliowasema hawajui.
Hujui bhana acha mikwara.Wait usiwe na haraka, hii ni jambo linahitaji utulivu wa hali juu, kwani si jambo dogo kuja kuwaelewesha watu waliodanganywa kwa miongo kadhaa kuhusu jambo Fulani na wakuelewe, so nahitaji kuja polepole
Umekataa kuwe na chuki na ushabiki umesema sisi soye ni binadamu later unaonuesha dhahiri hata wewe kuna upande unaupendelea ndio inaweza ikawa kwa uoande flani sio wa israel lakini piah nao ni binadamu kama ulivyosema rightKwani wapi nimekosea
Haijulikan siku wala saa atakapo rudi naona umekuwa mesia🤣Nitarudi kuwajulisha taifa halisi la Israel
Wewe unajua nini? Hujaonesha hapa unachojua mzee wa kobazi
Hapo inaweza isiwe mlima Kilimanjaro au Mlima Kenya maana pia kuna sehemu inaongelea darini nk.. andiko linamaanisha kama upo mlimani usishuke kuingia mjini ni bora ubakie huko huko kwasababu mji umechafuka kwa mauaji na mateso ya kila aina na hata kukamatwa na kupelekwa utumwani, vile lengo la kuvamia hapo Jerusalem lilikuwa kuondoa waisrael wote na kutengeneza historia nyingine ambayo itaendana na kile wakitakacho ndiyo maana pia waliwatoa wa Misri wakale na kuwaweka Waarabu.Waisraeli wengi kitambo hicho wamekimbilia Afrika, tena Afrika mashariki/ mashariki mwa Afrika.
Milimani hapo maana yake mlima Kilimanjaro na mlima Kenya.
Kama natania lkn huo ndio ukweli.
Ungeutumia muda wako kujiendeleza kielimu kuliko kuandika vitu usivyo na uelewa navyo.Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael.
Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na Yanga, yahani mamia kwa maelfu ya watu wanapoteza maisha lakini kuna watu wanaleta utani wa kitoto, ndugu zangu hakuna binadamu aliyezaliwa ni muisilamu au mkristo, sisi sote ni binadamu ikitokea mpalestina amekufa aliyekufa ni binadamu the same kwa waisrael, tuache ushabiki wa kipuuzi na tuangalie maisha ya watu sio vizuri kuona mamia ya watu wanakufa sababu ya interest za watu Fulani.
Hivi vita mmevifanya kua itikadi za kidini, waisilamu wanawaunga mkono wapalestina, wakristo wanawaunga mkono waisrael yahani ni upuuzi kwa kwenda mbele.
Ukweli ambao wengi hamuujui ni kwamba ilo taifa la waisrael ambalo mnasema ndio taifa teule la mungu halina uhusiano wowote na wale waisrael walioandikwa kwenye bibilia zenu, ili ni taifa la mchongo ambalo limeanzishwa na nchi za magharibi wakiongozwa na Marekani kwa lengo la kuficha bahadhi ya vitu na kuwapumbaza watu wasiweze kujua waisrael halisi ni watu gani.
Kuna watu wapo serious kweli wakiamini kwamba hawa ni waisrael, kweli nimehamini lile andiko lisemalo watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa

Kuwa wairael au waisraeli mchongo sio hoja!Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael.
Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na Yanga, yahani mamia kwa maelfu ya watu wanapoteza maisha lakini kuna watu wanaleta utani wa kitoto, ndugu zangu hakuna binadamu aliyezaliwa ni muisilamu au mkristo, sisi sote ni binadamu ikitokea mpalestina amekufa aliyekufa ni binadamu the same kwa waisrael, tuache ushabiki wa kipuuzi na tuangalie maisha ya watu sio vizuri kuona mamia ya watu wanakufa sababu ya interest za watu Fulani.
Hivi vita mmevifanya kua itikadi za kidini, waisilamu wanawaunga mkono wapalestina, wakristo wanawaunga mkono waisrael yahani ni upuuzi kwa kwenda mbele.
Ukweli ambao wengi hamuujui ni kwamba ilo taifa la waisrael ambalo mnasema ndio taifa teule la mungu halina uhusiano wowote na wale waisrael walioandikwa kwenye bibilia zenu, ili ni taifa la mchongo ambalo limeanzishwa na nchi za magharibi wakiongozwa na Marekani kwa lengo la kuficha bahadhi ya vitu na kuwapumbaza watu wasiweze kujua waisrael halisi ni watu gani.
Kuna watu wapo serious kweli wakiamini kwamba hawa ni waisrael, kweli nimehamini lile andiko lisemalo watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa
Sure sisi wakristo hatusomi Biblia vizuri.kuna sehemu imeandikwa kwamba Kuna watu watajifanya waisrael.