Watu wengi hawajui mambo mengi kuhusu Taifa la Israel

Africa kuna nchi kama Kongo na Somalia, kuna vita kila siku visivyoisha , maelfu ya waafrica wenzetu wanapoteza maisha , ila cha kushangaza utasikia pray for Israel , mara pray for palestina, Ndio ujue waafrica upumbavu wetu upo ndani ya hizi dini.
 
Waisraeli wengi kitambo hicho wamekimbilia Afrika, tena Afrika mashariki/ mashariki mwa Afrika.
Milimani hapo maana yake mlima Kilimanjaro na mlima Kenya.

Kama natania lkn huo ndio ukweli.
 
That's obvious ikiwa open minded. Israel ni wazungu wale hawana uhusiano na Israel ya enzi za yesu. Wale ni wamarekani, waingereza na wazungu wa ulaya.
 
Kama umeshindwa kuelelezea wakati wa kuanzia ha uzi maelezo mapya utayatoa wapi Mbona kama hujajiandaa.
Wait usiwe na haraka, hii ni jambo linahitaji utulivu wa hali juu, kwani si jambo dogo kuja kuwaelewesha watu waliodanganywa kwa miongo kadhaa kuhusu jambo Fulani na wakuelewe, so nahitaji kuja polepole
 
Nikadhani labda na wewe mtoa mada unalijua vizuri hilo Taifa utuambie, kumbe nawe hujui kama hao uliowasema hawajui.
 
Kwani wapi nimekosea
Umekataa kuwe na chuki na ushabiki umesema sisi soye ni binadamu later unaonuesha dhahiri hata wewe kuna upande unaupendelea ndio inaweza ikawa kwa uoande flani sio wa israel lakini piah nao ni binadamu kama ulivyosema right
 
Waisraeli wengi kitambo hicho wamekimbilia Afrika, tena Afrika mashariki/ mashariki mwa Afrika.
Milimani hapo maana yake mlima Kilimanjaro na mlima Kenya.

Kama natania lkn huo ndio ukweli.
Hapo inaweza isiwe mlima Kilimanjaro au Mlima Kenya maana pia kuna sehemu inaongelea darini nk.. andiko linamaanisha kama upo mlimani usishuke kuingia mjini ni bora ubakie huko huko kwasababu mji umechafuka kwa mauaji na mateso ya kila aina na hata kukamatwa na kupelekwa utumwani, vile lengo la kuvamia hapo Jerusalem lilikuwa kuondoa waisrael wote na kutengeneza historia nyingine ambayo itaendana na kile wakitakacho ndiyo maana pia waliwatoa wa Misri wakale na kuwaweka Waarabu.
Hakika Waisrael wakale na wa Misri wakale walikuwa weusi.
 
Ungeanza na taifa lako pendwa kabla ya hujapoteza muda kutafiti mataifa ya watu wengine
 
Ni afadhali
Ungeutumia muda wako kujiendeleza kielimu kuliko kuandika vitu usivyo na uelewa navyo.

Jambo pekee la.maana na la kweli uliloliandika ni pale tu uliposema kuwa uhai wa mwanadamu yeyote ni wenye thamani.

Mengine yote uliyoandika, inaonekana huna kabisa uelewa nayo. Jielimishe kwanza, utakuwa unaandika vitu vya maana na kuepuka aibu na fedheha.

Marekani unaiingiza bila ya uelewa. Kama una uwezo wa kutumia internet, tafuta movement ya Wayahudi waliokuwa nje ya eneo lao la asili, iliyoitwa Zionisim, ambayo ililenga kuwahamasisha wayahudi waliokuwa Ulaya kurudi kwenye ardhi ya baba na babu zao, na hiyo ni baada ya Hitler kuwaua kwa maelfu Wayahudi waliokuwa wakiishi Ujerumani. Na Ujerumani, wakati huo ilikuwa ndiyo nchi yenye wayahudi wengi kuliko nchi yoyote.

Lakini pia ufahamu kuwa katika hiyo nchi ya Canaan ya kale, kulikuwepo na Wayahudi ambao tangu enzi za babu wa babu zao hawakuwahi kuondoka kwenye ardhi yao, nao waliishi pamoja na waarabu ambao leo wanaitwa Wapalestina.

Mtu mwenye dhamrra njema, ni lazima ahamasishe Waisrael na Wapalestina waishi kwa pamoja kama walivyoishi hapo kale. Chanzo cha matatizo yote ni Waarabu wanafiki wanaochochea na kuanzisha makundi ya kigaidi wakiwadanganya wapalestina kuwa watawasaidia kuwaangamiza Wayahudi, na wao watawale ardhi yote ya Israel, Gaza na West Bank. Na shetani mkubwa kwenye hili ni Iran. Falsafa ya Iran ni kwamba Wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani bali wanatakiwa kuangamizwa wapotee. Na ndiyo falsafa ya magaidi ya hamas na Hezbollah. Bila ya hawa hayawani, Wayahudi na Wapalestina wangeweza kuishi pamoja. Fikiria hata wewe, mtu akuambie kuwa wewe na wanao na ndugu zako, hamtakiwi kuwepo Duniani, mnatakiwa mteketezwe, hivi utakuwa na mahusiano ya namna gani na jitu kama hilo? Haya mahayawani yenye itikadi hizo ndiyo chanzo kikubwa cha maafa ya Wapalestina na Wayahudi, ya kila mara. Bila ya Wapalestina kuachana na hawa Waarabu wanafiki, wakaweza kusogeleana na Wayahudi kama ndugu, basi kamwe hizi jamii mbili hazitaonja amani.
 
Kuwa wairael au waisraeli mchongo sio hoja!
Hoja Hapo warabu(Waislamu) wameaminishwa na Allah kwamba!
Wao Adui Yao mkubwa kuliko shetani ni Yahudi!!
👇👇
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao Wasomi na wacha Mungu na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
 
Sure sisi wakristo hatusomi Biblia vizuri.kuna sehemu imeandikwa kwamba Kuna watu watajifanya waisrael.

HAMAS WANADAI NDIYO WAYAHUDI HALISI,ALIBADILKLI DINI NA MAJINA TU ..AKINA NETANYAHU NAO WANASEMA NDIYO WAYAHUDU HALISI.
SASA TUAMBIE KWA MUJIBU WA HIYO VERSE YA BIBLE NANI IMPOSTER?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…