Watu wengi wa Dar es Salaam wanaishi maisha magumu mno

Huko hawangoji pakuche sijui wanalala saa ngapi!! Mtu anarudi saa Saba usiku home, saa tisa tena mzigoni
Anyway ni upambanaji wa mateso!!
Ccm wananchi hawana raha๐Ÿ˜‚
Hapo sasa napata maana harisi ya neno mkanganyiko na kukanganyana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ daah nimecheka sana
 
Atakuja mkimbizi wa mchongo na kusema dar wanapiga kazi za laana!
 
Kazi ni kazi afisa ili mradi tu inalipa ukiifanya ki uhakika naamini mambo yatajipa, kama kitu watu wana tipa kimentali Au kisomi iwe Kwa Boda au Kwa pipa.
 
Kazi ni kazi afisa ili mradi tu inalipa ukiifanya ki uhakika naamini mambo yatajipa, kama kitu watu wana tipa kimentali Au kisomi iwe Kwa Boda au Kwa pipa.
Unamwita afisa tena๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“
Yaah ni kweli mkuu kazi ni kazi tu
Kila kitu ni cha mpito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ