Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Na hata kuingia hawajawahi... KhaaaWanajifariji na yale magorofa,huwa wnaona kama ya kwao,utasikia we unakaaje mkoani wakati hata hakuna magorofa ya kueleweka....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hata kuingia hawajawahi... KhaaaWanajifariji na yale magorofa,huwa wnaona kama ya kwao,utasikia we unakaaje mkoani wakati hata hakuna magorofa ya kueleweka....
Hahaha mbeya hii ya Tanzania!?Mbeya
Wanatesekaje?Hahaha mbeya hii ya Tanzania!?
Upo mbeya sehem gani mkuu ambapo hamteseki ?[emoji23][emoji23]
Nimefurahi kweli natamani niweke picha za mbeya kuanzia wamama wanavoteseka masokoni kuanzia sido Mwanjelwa nk.
Ulitaka watu wachague kina nani?Hahaha..
Na Bado, mi-5 tena Kwa ccm😁
SisiemuUlitaka watu wachague kina nani?
Nimechoka kukimbizana na nyaniAmna mkuu yaani sa hivi hamnaga hizo kabisa.. 🤓🤓🤓🤓🤓
Usiniambie kama umechagua maisha magumu ..
Itaje hio nchiKuna nchi hakuna kitu kinaitwa kibarua viwandani, All things are oparated by machines(Robotics machines)
Mkuu siyo kweli,huko mikoani watu wanalima vyakula vyao Hadi mbogamboga,nyumba imezungukwa na miti ya matunda na jirani anachuma muda wowote atakao,nyumba za hadhi..tofauti na dar ambako kula ni shida na watu wanaishi kwenye nyumba za hovyo kwa Kodi kubwaTanzania nzima hakuna sehemu yenye maisha mazuri kuliko DSM.
Habari!
Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali. Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.
Jamani wananchi wanateseka.
Si si M, Si si M, Si si M!Habari!
Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali.
Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.
Jamani wananchi wanateseka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Usipojishughulisha utakuwa askari wa zenji
Napingana na wewe ,mm ni mwanadsm ila nipo mkoani kikazi!! DSM maisha ni magumu Kwa watu wengi!!! Dar Kuna mtu Hana uwezo wa kununua kilo ya beef ya ngombe mpaka ahongwe wakati wa kampeni za CCM Nina uhakika!!! Dar watu ni masikini Sana wanajututumua tuuuTanzania nzima hakuna sehemu yenye maisha mazuri kuliko DSM.
Hii sio kaziBodaboda wamekushinda sasa unakuja kwa wakazi wa DSM
Wewe si mkazi wa Dar.Napingana na wewe ,mm ni mwanadsm ila nipo mkoani kikazi!! DSM maisha ni magumu Kwa watu wengi!!! Dar Kuna mtu Hana uwezo wa kununua kilo ya beef ya ngombe mpaka ahongwe wakati wa kampeni za CCM Nina uhakika!!! Dar watu ni masikini Sana wanajututumua tuuu
Ni kweli kila route hali ni hio na kila manispaa ndio hali ilivyo nchi nzimaHabari!
Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali.
Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.
Jamani wananchi wanateseka.