Watu wengi wa Dar es Salaam wanaishi maisha magumu mno

Watu wengi wa Dar es Salaam wanaishi maisha magumu mno

Siyo dar tu ata huku mikoan ni hivyohivyo, mim naishi karibu na mfanyakaz wa serikali anaamkaga saa 9 anarudi saa 3 usiku
Dar pia usafiri unachangia mtu wa saa 3 anafika kwake saa 5
 
Habari!
Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali. Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.

Jamani wananchi wanateseka.
Hao / Hawa Watu wanaongozwa na Mimi GENTAMYCINE na ole wenu mnibishie katika hili mtanitambua.
 
Habari!
Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali. Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.

Jamani wananchi wanateseka.
usiombe kuketi siti 1 na mtu alie beba utumbo wa ng,ombe
 
Kibaya zaidi hizo purukushani zote wengi wao wanafanyia tumbo tu
wanakesha kutafuta kodi ya nyumba na hela ya kula na nauli tu ukiwagusa midomo matusi kama yote dar kwa mtu ambae hajaekeza mtumwa sana kuliko mtumwa shambaba la mpunga mbingu
 
Ndio tunateseka family za mkapa,mwinyi,kikwete,kinana,mwinyi,karume,makamba ,bkhresa ndo wanaenjoy sijui nawe mmoja wao?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Habari!
Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali. Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.

Jamani wananchi wanateseka.
Wanajifariji na yale magorofa,huwa wanaona kama ya kwao,utasikia we unakaaje mkoani wakati hata hakuna magorofa ya kueleweka....
 
Mkuu ila mi huwa naona dar Kuna fursa na opportunities nyingi ukiwa na jicho la kuona.
Maana kuanzia issue za viwandani,media na hata most dominating deals ziko hapo
Posho za vibarua kiwandani zinauwa nguvu kazi za vijana wengi hapa nchini lkn akija mgeni analipwa hela nyingi vivo hivyo hata kwenye idara nyingine mzawa analipwa hela ndogo sana ukilinganisha na majukumu aliyopatiwa ila wageni sasa hulipwa hela nyingi mno lkn hii serikali yetu imefumbia macho kabisa hili suala, Ndio maana vijana wengi bado wanawaza kwenda nchi za mbali ili kujipatia kipato zaidi..
 
Back
Top Bottom