Watu wengi wa Dar es Salaam wanaishi maisha magumu mno

Watu wengi wa Dar es Salaam wanaishi maisha magumu mno

Wana stress hasa sio kidogo aisee!! Halafu sehemu ya kupunguzi stress ni jamii forum Kwa kuwatukana walimu!![emoji38][emoji38][emoji38]na Bado watahama mmoja mmoja!!
Nyama kilo sh 10,000
Maharage kilo 4000
Mchele kilo 3500- 4000/
Haki ya Mungu walimu watatukanwa Sana tuu
 
Habari!

Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali.

Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.

Jamani wananchi wanateseka.
Upeo wako wakufikiri ni mdogo
 
Hapo wanakuambia bora maisha ya Dar kuliko kijijini walikotoka
 
Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.
Na hapo wengine wamekoswakoswa na mishale wakati wanakwapua hivyo walivyobeba
 
Changamoto ya pili ni huko nyumbani hatujui tutawaambia nini kuhusu muda mrefu tuliopoteza DSM na mifukoni hatuna kitu.
Sambamba na hilo una wategemezi wanaokutazama wewe kama msaada mkuu kwao
 
Ukienda India panda treni ka utapata nafasi hata kusogeza mkono na usiku watu wanalala mabarabarani kwani kuwa mitaa Serkiali inazuia magari yasipite ili walala hoi walale, nenda Nepal, Ufilipino yaaani kote. Labla nchi za scandinavia kama Norway, Denmark na kule Canada ndo watu wanaishi poa!!
Huenda hii ndiyo sababu ya ile report ya CAG kuwa vile ilivyo, watu wanakwapua kupita kiasi wajilimbikizie kwakuwa future is unpredictable, wanapokwapuaa wanatengeneza ugumu wa mzunguko wa pesa na kusababisha maisha kuwa magumu kwa wengine
 
Mtoa mada yupo sahihi ila uwasilishaji wake una walakini kidogo. Asilimia kubwa ya watu wa Dar tunatafuta msosi kwanza mengine baadae.

La muhimu japo sio la kuzingatia wengi tunatamani kurudi nyumbani ila changamoto ya kwanza ni nauli yote kuipata Kwa pamoja.

Changamoto ya pili ni huko nyumbani hatujui tutawaambia nini kuhusu muda mrefu tuliopoteza DSM na mifukoni hatuna kitu.

Itaendelea.
We umegonga ngumi ya pua kwa adui.

¾ ya wakazi wa dar wanaishi maisha ya mateso. Sawa tuseme wanapambana na harakati za maisha ila ni kwa ajili ya tumbo na kupitia mateso , wengi mazingira yanawanyia ukatili wa kutisha.
Unakuta watu wazima wanatembea wanaongea peke yao kama wendawazimu.

Makazi duni, huduma duni na maisha kiujumla ni mkong'oto. Ndio maana mkazi wa jiji la dar awe kijana, mtu mzima, mzee bado wamekaa kitapelitapeli, ile hulka ya ubinadamu hakuna.

Hata akiwa ndugu yako bado haaminiki kwani mji na maisha yake tayari vimembadilidha na kumbika roho ya kikatili.

Hata wanawake wa dar asilimia kubwa wamejaa mawenge vichwani, stress mpaka radha hawana tena

Kiujumla maisha yakiwa magumu roho za binadamu zina adopt ukatili.
 
Dar kuna vituko usiende Juma, unaweza ukawa mbele na ukarudi nyuma, kuna madada warembo warembo na mabishoo ya uongo wenye kuchange mitindo, ukienda putaputa utachekwa na mababu Juma eeeh hawa watu bwana hawanaga ustaarabu Juma eeeh, ukiinama kidogo nyuma mambo ya ajabu Juma eeeh.

Usichojua usiku wa giza Mjomba Juma.
Ni bora ukae kijijini kuna mashamba lima utawin usitamani tamani mjini Juma.
 
Habari!

Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali.

Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha.

Jamani wananchi wanateseka.
Watu wanafanya kazi wewe unasema wanateseka? Nchi gani duniani iliendelea kwa watu kulala tu nyumbani bila kuwajibika?
Ungekuwa karibu ningekuzaba kibao aiseeh
 
Back
Top Bottom