Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Unachekesha! Mtu ambaye unazama uvinza unaweza kuona hicho kinyaa!
 
Dah kuna boss mkubwa tuu ila anavyotafuna jamani mpk aibu...yani anaongea na machakula mdomoni mpk kero...ni msukuma og...wasukuma waliosoma seminar wakapata mafunzo ya kule hawapo hivyo..seminar inawashep watu
Ukithubutu kumuambia basi ujue kibarua kitaota nyasi,akishindwa basi figisu zitakuhusu.
 
Weka hapa huo utaratibu kama una manufaa na jamii nyingine ijifunze.
 
Husi tumie sample ya familia moja ku generalize kuwa watu wote wa kanda ya ziwa wako hivyo.
 
Na Wake zenu wanawala hivyo hivyo.. wanakata tonge huku wanakata tonge kule.
 
Kila mtu anafanya yake kwa namna alivyo na hulka yake...hatufanani kulingana na makabila au kanda zetu,kila aina ya watu ina mambo yake,hata kwenu kuna kituko chake japo huwezi kukisem
Sawa kila jamii inatamaduni zake,ila zinazohusi ulaji ni mtambuka,jamii isiyoheshimu usafi wakati wa kura wanaitwa hawajastaarabika,ustaarabu unaanzia kwnye makulaji ndiko kwngine kunafuata!!
 
Halafu wewe jamaa uache mambo yako,yani mambo ya wasukuma unatuhusisha na sisi watu wa Mara.
Kama ilikuwa unataka kuwasema wao kupitia mgongo wa watu wa Mara ukome.
Usipanick mkuu.Hapa tunaeleweshana tu namna ya kuishi pamoja kama taifa.Sio usukumani tu wenye hiyo tabia.Ni sehemu kubwa ya kanda ya ziwa wengi wapo hivyo.Usipende kutetea ujinga eti kisa ni ni kwenu.Hata kwenye kabila langu kuna madhaifu pia.Ila haya ya kula yamejaa sana kanda ya ziwa.
 
Ukisema Kanda ya ziwa unakosea make mi niliwahi tembelea Bukoba niliona maajabu waliweka chakula kwenye sahani Moja kubwa.Kipindi tunakula unaeza kudhani Kila mtu anakula sahani yake nilishangaa sana ule ustaarabu sijuwi wamefundishana vipi aisee.Halafu mtoto haruhusiwi kutazama watu wazima usoni wakiwa wanakula.Ukiinama kwenye sahani usiinuwe uso kuanza mbambamba.
 
Ukisema Kanda ya ziwa unakosea make mi niliwahi tembelea Bukoba niliona maajabu waliweka chakula kwenye sahani Moja kubwa.Kipindi tunakula unaeza kudhani Kila mtu anakula sahani yake nilishangaa sana ule ustaarabu sijuwi wamefundishana vipi aisee.Halafu mtoto haruhusiwi kutazama watu wazima usoni wakiwa wanakula.Ukiinama kwenye sahani usiinuwe uso kuanza mbambamba.
 
Mpaka Karne hii wahutu hawana utaratibu wa kila MTU na bakuli lake la mboga?
Kula bakuli moja la mboga siyo shida ndo uafrika,nadhani kutokana na umasikini pia wa vyombo ila tatizo ni unakulaje?? Wengine tilifundishwa tangu utotoni namna yakula vzr unapokuwa na sahani ya peke yako au unaposhare na wenzio,unafundishwa namna ya kukata tonge,huwwz vuka upande wako ukakate tonge upande wa mwezio,au kuweka kidole ndani ya bakuli ni mwiko, etc
 
Pana Lile kabila ugali wa moto unaliwa kwenye sufuria kubwa pamoja na sufuria ya mboga Kama camp hivi.
Ukikata tonge ukaachia kisa unaungua mwenzako anapita na tonge lako wao mikono Yao imekomaa.
Usipokuwa makini utaambulia maji ya kunawa tu

Duuh watu wa wap hao mkuu
 
Kuna watu wamesema huko hakuna table manners,, mi nachojua kagera hasa kulipo na wahaya table manners ni kitu cha msingi na cha kwanza mtoto anafundishwa labda mambo yawe yamebadilika miaka hii,
Itakuwa walikutana na wahangaza maana hao tabia zao nyingi ni kama watutsi wahutu na waha
 
Hawajui kula, je binti Yao unamuonaje kwenye idara zote tatu?
1.Yaani upishi
2. Huduma nyeti pamoja na urembo na tako.
3. Utafutaji....
Msukuma kwenye kipengere 1 na 2 muondoe yeye bidii ya kazi hapo sawa
 
Wamewasingizia ila wahaya kwenye kula lile kabila Lina adabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…