Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Kuna mseng.e mmoja tumealikwa sehemu, wao ndiyo wageni waheshima.
Tukawekewa msosi na vibakuli vya mbuzi, kyuma mmoja akabeba kibakuli akapiga supu kisha akakirudisha watu wakaendelea kula hiyo supu, mi nilishiba ghafla
Uwiii huu uzi jamani🤣🤣🤣
 
Kama namuona hechikei
 
Misaada inawasaidia watawala wananunulia mabus ,malori na Sio wananchi, wananchi wameachwa wapambane na hali zao

Hilo nibm tatizo lako wewe uliyeshindwa kuwatoa hao viongozi.

Totally off point. Logical non sequitur fallacy.
 
Bro. Kwanza nitangaze Mimi ni mtu WA Kanda ya Ziwa na naishi Kanda ya ziwa. Ila nimebahatika kutembea nchini almost Mikoa 23.

Kuna wakati niliwahi fikri kula chakula sahani moja ni ushamba, ukale na uchafu.

Leo nimekua nimerudi huko nimejifunza kula sahani moja huleta upendo, undugu na ujamaa zaidi. Huwezi amini kazini kwangu huwa tunanunua chakula kingi tuna hanganya Kisha tunaanza kula kwa pamoka kwa mikono ndo tunasikia raha zaidi.

Utu uzima unamambo haha.
 
Hembu elezea kula sahani moja kunaletaje upendo, undugu na ujamaa zaidi.
 
Hembu elezea kula sahani moja kunaletaje upendo, undugu na ujamaa zaidi.
Kuna passion huwezi elewa. Just Imagine mkaa sahani moja kula na nduguzo bila kujali hadhi za elimu, vyeo ama uchumi. Hii huondoa mipaka kati ya ndugu. Kesho ama baada ya mlo munaweza kuteta mambo bila hofu na mipaka.

Hii ni mila nzuri sana huondoa mipaka kati ya wasomi, masikini na matajiri. Wa mjini na vijijini.
 
Acha ushamba wewe, kanda ya ziwa kuna makabila mengi pengine kuliko kanda yoyote , tamaduni na tabia ziko tofauti kabisa.

Unapowasilisha hoja yako taja kabila husika, kanda ya ziwa sio mkoa kijana
 
Pia Pana hili la kujamba mbele za watu wengine uenda faragha wengine wanapumua mbele ya watu wanasema eti ni suna ipi ni sahihi.
Kwangu tendo la kujamba mbele za watu ni kitendo kichafu na Cha aibu na kukutambulisha jinsi ulivyo primitives.
Kujamba ilipaswa kuwa jambo la kawaida. Kwa wenzetu ni kitu cha kawaida. Sisi ndiyo tunaona jambo la ajabu. Hatuoni ajabu uchafu tunaona ajabu kujamba.
 
Hawajui kula, je binti Yao unamuonaje kwenye idara zote tatu?
1.Yaani upishi
2. Huduma nyeti pamoja na urembo na tako.
3. Utafutaji....
Tako limeingiaje hapo🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…