Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Yupo vizuri kwa kweli.Changamoto ni ulaji tu.Ila sahizi mke wangu yupo vizuri hata kwenye ulaji
Wewe kwenu wapi?πŸ˜πŸ˜†, tambua tu kuwa suala la kula pamoja ni kipengele sana mkuu. Kuna sehemu hapa hapa duniani ukila kwa mikono unawatia kinyaa.

Usiombe pia kula biriani na watu ambao hawako katika huo ustaarabu, uone anavyorudisha kile alichochota kisha kula kikabaki baki katika kiganja na kukirusha katika sahani kisha kikarudi katika sinia zima. Lakini hii haitoshi kuiita tabia ya watu wa kanda ya PwaniπŸ˜†
 
Sema mazingira ya kazi zako ndio yanakukutanisha na walafi.
 
Mimi suala kucheua kwa sauti halafu linaonekana ni Jambo la kawaida tu,hua sielewi kabisa hapo.Inatia kinyaa sana.
 
Niliwahi kwenda Bariadi cha ajabu Maji ya kunawa mikono yanawekwa kwwnye beseni kisha mnadumbukiza mikonomnanawa wote kabla na baada ya kula, Afu dagaa wana michuzi mtu anachimba ugali kishimo kati kati anadumbukiza kwenye kibakuri ugali anaanza kuloa Dagaa, hata sekunde 10, cha ajabu akitoa unakuta kanasa dagaa wawili tu kwenye kizinga chake cha ugali, huku mikono yote imeloana mchuzi, asee kusema kweli sikula.

Kuna mda nilitoroka nikaenda kula mgahawani
 
Kila kabila Lina taratibu zake jaribu kuheshimu hilo vinginevyo ungeenda kuoa kwenu mlikostaarabika kama ulipenda binti yao hebu yabebe mapungufu yao siyo kuja kuyamwaga hadharani
 
Japokuwa huja taja kabila ila moja kwa moja hao ni wasukuma hata mkienda sehem ya kuangalia mpira mkagiza kinywaji badala anyway kistarabu hku tukicheki gemu yeye ana piga tarumbeta hata dakika haziishi ....dah...
kweliiii asilimia 1000🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Watu wa kanda ya ziwa nilikuwa sijui kumbe ni wana suna.wanaramba vidole vyote vitano
Hiyo ya kuchokonoa meno kama huwazushii basi ndio kidogo wanatakiwa wabadili
Ukisafiri kwenda wapi ndio utajua kula.Ulaya ndio kabisa hakuna heshima katika kula.Washenzi kabisa.
 
Kuna mikono kwa mtindo huo hakuna tofauti kubwa sana na sehemu nyingi za mjini ambako jagi la kunawia mikono huwa linatumbukizwa kwenye maji machafu yaliyonawia mikono na baadaye kuchotea maji ya kunawaia mikono tena.
 
Mngekuwa wastaarabu mngetembea na ma.vi tumboni,wasukuma hatuitaji mtu eti atufundishe ustaarabu maana unaweza dhani ni ustaarabu kumbe ni ushenz kwa mwingne!!
 
Nimeenda Nangurukulu nikakuta watu wanakunya pwani baharini.

Nimepita Muhoro mji unanuka mavi.

What are you talking about?
Nimeambiwa sehemu za Pwani karibu na bahari kama maeno ya ferry huwa zinakuwa na harafu ya ammonium kutoka kinyesi cha samaki ila wabara hawaelewei Accumen Mo FaizaFoxy
 
Nimeambiwa sehemu za Pwani karibu na bahari kama maeno ya ferry huwa zinakuwa na harafu ya ammonium kutoka kinyesi cha samaki ila wabara hawaelewei Accumen Mo FaizaFoxy
Sehemu za pwani kuna mlundikano wa uchafu ,maana bahari haikai ma uchafu zile sehemu za beach kama sio usafi wa kila siku mnaweza kukuta mizoga ya watu ,kinyesi kinaliwa na samaki .
 
Mi naonaga kula pamoja ni uchafu tu
Chakula kinakuwa na baraka.
Nimetembelea nchi moja ya kiarabu na familia moja ya kimaskini.
Wakati wa kula hasa chakula cha mchana ni lazima wasubiriane. Huwa wanapanga nyumba ya kula.Leo kwa fulani kesho kwa fulani.
Juu ya umaskini wao ni watu wenye afya nzuri kuliko sisi huku tanaokula sufuria nzima ya sembe peke yetu.
 
Duh bwana shemeji umeamua kuja kutuanika huku? Kumbuka mkeo amelelewa na kukulia katika utamaduni huu huu ambao una uponda hapa lakini ulimuona ukaja kumchumbia
 
Ndugu yangu, vitu na watu hawafanani hata kidogo. Hata hao ambao unaona wamestaarabika bado hawafanani. Lazima wanapishana kiwango cha ustaarabu. Ni kama vilivyo vidole vya mkononi, havifanani kwa urefu na hata unene na hata michoro, lakini kila kimoja kina umuhimu wake ktk mwili wa binadamu.

Ukisema waanzishiwe chuo ili wastaarabike utaharibu utamaduni wao.

Mara ngapi tunasikia na kujadili ktk majukwaa mbalimbali kwamba nyingi ya tamaduni za kigeni zimetuharibia mambo yetu mazuri ya kitamaduni?
Mimi nikisemaga kuwa wasukuma ni watu wa hovyo huwa naonekana mbaguzi, hao watu waanzishiwe kule Mwanza chuo cha ustaarabu kuwe na kozi za namna ya kuongea, kula,kuvaa na namna ya kuishi na jamii zingine. Wasukuma ni watu wa hovyo sana bora masai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…