Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Alakum asalam ๐๐ฟAsalam alakum ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alakum asalam ๐๐ฟAsalam alakum ๐๐๐
Wewe kwenu wapi?๐๐, tambua tu kuwa suala la kula pamoja ni kipengele sana mkuu. Kuna sehemu hapa hapa duniani ukila kwa mikono unawatia kinyaa.Yupo vizuri kwa kweli.Changamoto ni ulaji tu.Ila sahizi mke wangu yupo vizuri hata kwenye ulaji
Sema mazingira ya kazi zako ndio yanakukutanisha na walafi.Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.
Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.
Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.
USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
kweliiii asilimia 1000๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃJapokuwa huja taja kabila ila moja kwa moja hao ni wasukuma hata mkienda sehem ya kuangalia mpira mkagiza kinywaji badala anyway kistarabu hku tukicheki gemu yeye ana piga tarumbeta hata dakika haziishi ....dah...
Watu wa kanda ya ziwa nilikuwa sijui kumbe ni wana suna.wanaramba vidole vyote vitanoPicha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.
Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.
Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.
USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Niliwahi kwenda Bariadi cha ajabu Maji ya kunawa mikono yanawekwa kwwnye beseni kisha mnadumbukiza mikonomnanawa wote kabla na baada ya kula, Afu dagaa wana michuzi mtu anachimba ugali kishimo kati kati anadumbukiza kwenye kibakuri ugali anaanza kuloa Dagaa, hata sekunde 10, cha ajabu akitoa unakuta kanasa dagaa wawili tu kwenye kizinga chake cha ugali, huku mikono yote imeloana mchuzi, asee kusema kweli sikula.
Kuna mda nilitoroka nikaenda kula mgahawani
Nimeambiwa sehemu za Pwani karibu na bahari kama maeno ya ferry huwa zinakuwa na harafu ya ammonium kutoka kinyesi cha samaki ila wabara hawaelewei Accumen Mo FaizaFoxyNimeenda Nangurukulu nikakuta watu wanakunya pwani baharini.
Nimepita Muhoro mji unanuka mavi.
What are you talking about?
Waswahili wengine wanasema eti ndio appetite inaongezeka na upendo pia!Mi naonaga kula pamoja ni uchafu tu
Sehemu za pwani kuna mlundikano wa uchafu ,maana bahari haikai ma uchafu zile sehemu za beach kama sio usafi wa kila siku mnaweza kukuta mizoga ya watu ,kinyesi kinaliwa na samaki .Nimeambiwa sehemu za Pwani karibu na bahari kama maeno ya ferry huwa zinakuwa na harafu ya ammonium kutoka kinyesi cha samaki ila wabara hawaelewei Accumen Mo FaizaFoxy
Bahari ina harufu nyingi sana. Ambae hajaishi pwani hawezi nielewa.Nimeambiwa sehemu za Pwani karibu na bahari kama maeno ya ferry huwa zinakuwa na harafu ya ammonium kutoka kinyesi cha samaki ila wabara hawaelewei Accumen Mo FaizaFoxy
Chakula kinakuwa na baraka.Mi naonaga kula pamoja ni uchafu tu
Duh bwana shemeji umeamua kuja kutuanika huku? Kumbuka mkeo amelelewa na kukulia katika utamaduni huu huu ambao una uponda hapa lakini ulimuona ukaja kumchumbiaPicha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.
Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.
Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.
USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Mimi nikisemaga kuwa wasukuma ni watu wa hovyo huwa naonekana mbaguzi, hao watu waanzishiwe kule Mwanza chuo cha ustaarabu kuwe na kozi za namna ya kuongea, kula,kuvaa na namna ya kuishi na jamii zingine. Wasukuma ni watu wa hovyo sana bora masai
Sidhani kama alipenda, ila nadhani alijisemea tu, sasa liwalo na liwe...๐คงDah, abarikiwe aliyegundua kila mtu na sahani yake.