Watu wengi walipoteza akaunti zao katika sakata la kucomment "No reform No ELection'

Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya mapema kabla ya kuchukua zile pesa ila hawakuskia leo hii akaunti zao zimekua ban kwa hela ya vocha tu!
Na wewe Kwa akili hii pale LUMUMBA wanakuamini sana kama mrembo Mwenye akili
 
Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya mapema kabla ya kuchukua zile pesa ila hawakuskia leo hii akaunti zao zimekua ban kwa hela ya vocha tu!
Ukiwa kama Kijana wa Kitanganyika unayejitambua huwezi ukatumika kama tambara la deki. Mdogo mdogo mtakimbia tu. Hoja ya msingi sio kiti cha Uraisi au kuwa Mjengoni au kuwa diwani hoja hapa ni KURA ZA WATANZANIA ZIHESHIMIKE
 
hizi taarifa zmetokana na ushuhuda wangu binafsi
 
Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya mapema kabla ya kuchukua zile pesa ila hawakuskia leo hii akaunti zao zimekua ban kwa hela ya vocha tu!
Umeandika ujinga tupu
 
Back
Top Bottom