min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Pumbavu 😅wewe najua utapanda cheo pale tone tone mpaka mhasibu mkuu kwahio wewe hauendi kuokota bali unaenda kufilisi
Pumbavu 😅wewe najua utapanda cheo pale tone tone mpaka mhasibu mkuu kwahio wewe hauendi kuokota bali unaenda kufilisi
Msomi simnichukue mimi bwashee 😅 kuliko bi mkubwa😁President anatakiwa kua msomi pia, mfano wakija watu wasisema test tube imeungua wewe ukaidhinisha bajeti
Hapana kaka nikioga wiki moja na pesa ushamba utaisha nitaanza kufanya mambo ya maana 😅😅😅navokujua wewe ukishapata hicho cheo mwezi tu unataka kustaafu, sababu kibao mara matibabu baada ya mda tunaskia umenunua mansion pemben na hospitali ushahidi usiharibike
Sawa hakuna anaependa. Kutekwa mimi naweka tiki mitano tena bwashee 👏sasa ili uoge oktoba pale kwa mama unaweka tiki
Naona sana mkali now tupo mbele dunia ipo nyuma mama mitano tena👊kwa saahv ni mama mpaka 2030 alafu wengine watachukua, si unaona maendeleo
Umeketa...."Niliwahidi kuwaletea Tisheti je nimeleta au sijaleta ?"
Jimbo gani mkuu?Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya mapema kabla ya kuchukua zile pesa ila hawakuskia leo hii akaunti zao zimekua ban kwa hela ya vocha tu!
Kila la heri2040 tia tiki sehem ya president
Labda nitiki kwa mkeo sio kwa huyo Mpembaila oktoba si unatiki pale tunaenda na mama SGR ifike mpaka kigali, yaani mkimaliiza kampeni mburahati unapanda sgr moja kwa moja mpaka kwenu kinshasha