Watu wengi walipoteza akaunti zao katika sakata la kucomment "No reform No ELection'

Watu wengi walipoteza akaunti zao katika sakata la kucomment "No reform No ELection'

NO REFORMS NO ELECTION hakuna mtu anayepewa hela ya voucher kama unavyotaka kudanganya......ni mapenzi ya watanzania wanaopenda Haki, Ukweli, uwazi;

Watanzania wanaochukia utekaji, mauaji, kulawiti. upotevu wa watu nk
we si mkunja ngumi huezi elewa kinachoendelea ndan
 
IMG_20250610_204958.jpg
 
Kwani anasoma sasa hivi ile nafasi nyeti huu mwaka ndo ulikuwa wake Ila kifo cha Mzirankende kilimpatia ajali ya kisiasa.

Sasa hivi nasikia amerudi pale kwake ubungo maziwa.
anakuja na kishindo kizito 2030
 
Back
Top Bottom