Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
MalipoUongo utakusaidia nini?
MalipoUongo utakusaidia nini?
Sawa tajiri2030 mkuu, usije ingia tu kwa wajumbe ntagoma
Umri utakuwa ushamuacha mzee wa kakarosho 🙄🤗😁anakuja na kishindo kizito 2030
Sijawahi sema sio mitano tena kwa mama kwa sasabu pesa za viazi nazitaka pia ila haiondoi maana kuwa lissu ndio mkombozi wa taifa , mama mikumi tena ila akitoka mshaurini nchi inapaswa iachwe kwa vichwa kama lissu ili kupata maendeleo ya kweli .🤔mitano ya mama biashara mtaoga pesa
singida yenyewe mpaka leo hawajapata maendeleo ndo iwe tz 🤣Sijawahi sema sio mitano tena kwa mama kwa sasabu pesa za viazi nazitaka pia ila haiondoi maana kuwa lissu ndio mkombozi wa taifa , mama mikumi tena ila akitoka mshaurini nchi inapaswa iachwe kwa vichwa kama lissu ili kupata maendeleo ya kweli .🤔
Mfumo kaka ila sie tufanye yetu 😅😅😅 bwashee , mama mitano tena👊singida yenyewe mpaka leo hawajapata maendeleo ndo iwe tz 🤣
Kaka unajua wewe ni mtu mkubwa tu , watu wanafiriki ni hiyo profile kumbe wala😁cha muhimu 2040 mnipe kura ntahakikisha kila mwananchi anapata kitambi
si mtanipa kura lakini, mm ntahakikisha kila wilaya ina kiwanja kama cha mkapa
Wapige kwenye mshono ila najua unajua lissu ni jembe ila unavimba tu😅basi tu ila kura zikishaanza kujaa kwangu watalia nilikua wap siku zote
2040 ni Dennis Robert Shughuru wewe uwaziri unakutosha bwasheenipeni izo kura 2040 ntahakikisha kila mwananchi anapata kitambi chake binafsi
Je kwanini haujachukua fomu ?mda huo pole pole atakuepo kwel, kama mm tu ntakua kama tinubu wa nigeria
Akitoka niwakutanishe.?lissu tunaongea sana mwenyewe anaelewa moto wangu