Watu wengi wameoa/kuolewa kwa kufata mkumbo na imewagharimu sana

Usipokua makini mtoto wako wa 1 atakua na miaka 10 wewe ukiwa na 50 kipindi cha wewe kula matunda ya watoto wako itakubidi uendelee kwenda shulen kufuatilia maendeleo na vikao vya shule tena usipokufa mapema kipindi upo na miaka 65 au 70 bado utaendelea kudaiwa ada za vyuoni uko
 
The pressure is getting worst 🥵
 
Usipokua makini mtoto wako wa 1 atakua na miaka 10 wewe ukiwa na 50 kipindi cha wewe kula matunda ya watoto wako itakubidi uendelee kwenda shulen kufuatilia maendeleo na vikao vya shule tena usipokufa mapema kipindi upo na miaka 65 au 70 bado utaendelea kudaiwa ada za vyuoni uko
Mbona sioni tatizo hapo as long as upo fit kiuchumu
 
Mara nyingi wanawake ndio huoelewa kwa mkumbo.
Mfano rafiki zake wote wakiolewa akabaki yeye tu huyu akitokea jamaa yeyote pasipo kumchunguza atamuoa ndani ya siku2 tu.

Kuna hawa umri ukienda mlama miaka30+ nao huja kuolewa pasina kutegemea.

Mwanaume anayefuata mkumbo mara nyingi wazazi wake uchumi wao haupo vibaya sana.

Huwezi kuoa kula yako lala yako ni shida ngumu mno!
 
Eti 30+ yaani ninywe sumu kwasababu tu nasikia kiu😳
 
Back
Top Bottom