Bimkubwa alianza kila nikienda home kumsalimia,, ananishikia gazeti,, ooh wenzio wote wameoa bado wewe! Mara wenzako wote umekua nao mtaani, wana watoto na wameoa,, umebaki wewe na Sefu tuu.. 😁
Ooh mimi nataka wajukuu hapa,, ooh una kila kitu sasa uoe!
Ooh kanisani wananisema sana kuhusu wewe, naonekana mimi sijakulea kimaadili.
Nikamwambia Bimkubwa, wajukuu utawapata ila sio kwa mimi kwenda kanisani, kuvaa suti, kuvisha pete na kumwaga wino. Sahau hilo suala. Maza aliwaka sio kidogo mazee. Ukawa ugomvi wangu mkubwa sana na Bimkubwa huo mpaka leo.
Mimi nampelekeaga watu na wajukuu zake, ila habari ya kuoa kama anavyotaka yeye haipo.
Kuoa tena kwa kumwaga wino na vigelegele ni commitment kubwa sana, and vere risk.
Ukitaka kuona kuoa rasmi rasmi ni hatari, yaani kumwaga wino, mfike kwenye kuachana kwa taraka. Mpaka chupi inapigwa pasu kwa pilato.
Mimi iyo ya kuitwa mume wa mtu, piga ua. Nilishakataa. Tupeane utamu, nakulea kama mwanamke, kakitokea katoto kanalelea, ila siwi mumeo sahau.