Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Yeye kasha chagua kuwa aunt atulie tu 😂Unajitahidi sana kumkumbusha aisee😆
Yeye kasha chagua kuwa aunt atulie tu 😂Unajitahidi sana kumkumbusha aisee😆
Sio kweli..Njoo tuoane mkuu.
Yah kimbèmbe ni ukiwa apeche alolo bila kujali uliwahi au ulichelewaMbona sioni tatizo hapo as long as upo fit kiuchumu
Hi hi hiWewe si ulisema ulikuwaga hanithi juzi tu?
Mai lawd😆 mbona atajuta na uzi haufutiki😅Yeye kasha chagua kuwa aunt atulie tu 😂
Hii iko wazi kabisa. Wewe kama ni mwanamke utapinga tu ili hali ukijua ukweli ndo huo.Eto 30+ yaani ninywe sumu kwasababu tu nasikia kiu😳
Ni uhakika.Sio kweli..
bampa to bampaAkajua tumesahau🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo 29⬇️ Wanakuwa bado hawajachoka?? Hii kasheshe🤦🏽♀️Hii iko wazi kabisa. Wewe kama ni mwanamke utapinga tu ili hali ukijua ukweli ndo huo.
Sisi wanaume tunapokutana nao huwa wanatuambia bayana kabisa kuwa kwa sasa nimechoka kuchezewa nahitaji mwanaume wa kunioa nijenge nae familia!
Nipo hapa😂Dear future wife uko wapi?
Yaleyale ujifanyia comparison na baba yako unaona yes naweza kuoa unaingia kwenye ndoa kinakulamba unarud unalia kama bundiBaba yako alijipanga na alifanikiwa akiwa na miaka mingapi na wewe unavyojiona kwenye kujipanga kwako utapangika ukiwa na miaka mingapi?
Zaidi upo kupinga hapa na kaunzisha ligi kama kawaida yako.Kwahiyo 29⬇️ Wanakuwa bado hawajachoka?? Hii kasheshe🤦🏽♀️
Una taka nipigwee ehh?Nipo hapa😂
Zaidi upo kupinga hapa na kaunzisha ligi kama kawaida yako.
Wengi wa wanawake huchezea maisha yao mapema wakiwa na miaka17-25. Wakifika 26 akili inaanza kuwakaa mdogo mdogo akiwa bado anazubaa miaka29 hii hapa hofu inatanda huku jamii ikimwona kana kwamba hana bahati nk.
Zaidi ya yote Nenda kwenye makanisani ukaangalie wanao ombewa ili wapate wenzi wa maisha yao kisha
Hesabu kati ya watu 10 wanaume ni wangapi na wanawake ni wangapi.
Baada hapo waulize umri wao hao wanataka kuoa au kuolewa kisha fanya tathimini na ulete mrejesho hapa.
Mimi nasali Rc na jirani kabisa na kwangu kuna kanisa la sabato hivyo nikiwa mapumziko huwa nasikiliza sana mahubiri yao na madarasa yao hasa wakiwa na makambi au mikutano yao
View: https://youtu.be/iPgOan_CFlY?si=B9j-s0bH0EFAXajx
Hapo ndo naona wenye uhitaju mkubwa wa kuolewa ni wanawake wenye umri huo tajwa juu.
Tena wanafunga na kuomba kabisa ili wapate waume!
Kupigwaje tena? Mi simjui mtu humu mbona😦Una taka nipigwee ehh?
Natania tu mchuchu 😅Kupigwaje tena? Mi simjui mtu humu mbona😦