Watu wenye fizi za rangi nyeusi wana roho mbaya

Watu wenye fizi za rangi nyeusi wana roho mbaya

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Watu wa zamani walikuwa na uwezo wa kuusoma miwili wa mwanadamu kama walivyo weza kusoma hali ya hewa ya nchi na tabia nchi kwa ujumla.

Mfano (hii nina uhakika mayo kwa asilimia mia kwa sababu nimei-experience) wanawake wanaotoka jasho kwenye pua huwa wana mapenzi na upendo wa ukweli ni waaminifu kupita maelezo (kama Mungu amekujaalia mwanamke mwenye sifa hii basi usimzingue aisee), in addition to that huwa wanakuwa na nyota ya mafanikio kwa mwanaume wanaekuwa nae kwenye mahusiano.

Back kwa watu wenye fizi nyeusi.

Watu wenye fizi nyeusi wengi wao wana sifa moja kuu; wana roho mbaya sana. Wengi wao ni wachawi, washirikina, wachoyo, wafitini na kadhalika.

Mbaya zaidi ni mtu huyo anapokuwa; wa jinsia ya kike na gozi ya rangi nyeusi (dark skinned).

Kama ulikuwa hujui Mbaroko ndio nakujulisha, usije sema hukujua

Take note.
 
images (3).jpeg
 
Labda perception yako kabla ya ku interact nao ilikupa reaction mbaya kwao ndiyo iliwafanya wakuonyeshe hizo tabia, ila sisi wengine tumehusiana nao vizuri sana for decades now no sign of what you are saying here
Sio kweli mkuu kama wewe uke interact na mtu wa na hiyo vizuri basi itakuwa ni exception tu lakini wengi wao sio watu wazuri at all
 
Huyu atakuwa amerithi experience za ndugu zake wa kiume au kuna demu ana fizi nyeusi kampiga tukio takatifu ambalo hatokuja kusahau.
Sijawahi na siwezi kuwa na demu mwenye fizi nyeusi. Fizi nyeusi is an automatically switch off to me. Kwenye ukoo wetu hatuna watu wenye fizi nyeusi
 
Watu wa zamani walikuwa na uwezo wa kuusoma miwili wa mwanadamu kama walivyo weza kusoma hali ya hewa ya nchi na tabia nchi kwa ujumla.

Mfano ( hii nina uhakika mayo kwa asilimia mia kwa sababu nime I experience) wanawake wanaotoka jasho kwenye pua huwaga wana mapenzi na upendo wa ukweli ni waaminifu kupita maelezo (.kama.Mungu amekujaalia mwanamke mwenye sifa hii basi usimzingue aisee) in addition to that wanakuwaga na nyota ya mafanikio kwa mwanaume wanae kuwa nae kwenye mahusiano.


Back kwa watu wenye fizi nyeusi.

Watu wenye fizi nyeusi wengi wao wana sifa moja kuu. WANA ROHO MBAYA SANA.

Wengi wao ni wachawi, washirikina, wachoyo, wafitini nakadhalika.

Mbaya zaidi ni mtu huyo anapokuwa;

1. Wa jinsia ya kike.

2. Ngozi ya rangi nyeusi ( dark skinned)

Kama ulikuwa hujui mbaroko ndo nakujulisha.

Usije sema hukujua


Take note.
Hapa nina maswali;
1. Tunafahamu kuwa maumbile ya rangi ya fizi au ngozi mtu anazaliwa naye, kwa upande wa uchawi ni maarifa ambayo mtu anqfundishwa na kurithishwa na watu wake wa karibu baada ya kuzaliwa; SWALI ni vipi maumbile ya asili ya mtu yaendane na elimu anayoipata kwa watu wake wa karibu baada ya kuzaliwa?

2. Kuna uhusiano gani kati ya uchawi na rangi nyeusi, Je ni kweli wahusika wanawafundisha na kuwarithisha watoto wao uchawi kutokana na maumbile yao au rangi zao?

Hebu fafanua kidogo
 
Hapa nina maswali;
1. Tunafahamu kuwa maumbile ya rangi ya fizi au ngozi mtu anazaliwa naye, kwa upande wa uchawi ni maarifa ambayo mtu anqfundishwa na kurithishwa na watu wake wa karibu baada ya kuzaliwa; SWALI ni vipi maumbile ya asili ya mtu yaendane na elimu anayoipata kwa watu wake wa karibu baada ya kuzaliwa?

2. Kuna uhusiano gani kati ya uchawi na rangi nyeusi, Je ni kweli wahusika wanawafundisha na kuwarithisha watoto wao uchawi kutokana na maumbile yao au rangi zao?

Hebu fafanua kidogo

1. Ukiona mtu ana fizi nyeusi tafsiri yake ni kwamba amerithi vinasaba kwa wazazi wake Uchawi pia huwa una rithishwa pia kutoka kizazi hata kizazi. Kingine nimemaanisha kuwa na ROHO ya kichawi na sio necessarily kuruka na ungo. Hata wewe ukiwa na chuki na husda basi automatically unakuwa mchawi. SASA watu wenye fizi nyeusi wengi wao wanakuwaga na husda na chuki hawapendi maendeleo ya watu wengine


2. Ni kweli kabisa. Kwa mfano mtoto aliyezaliwa akiwa ametanguliza matako( kashindye) au mapacha au mtoto wa tatu wa mtoto wa tatu au mtoto wa mwisho wa mtoto wa mwisho anaweza kupeww mikoba ya uchawi
 
Msumbile ya mwili Yana uhusiano mkubwa na tabia by LOMBROSO
Asante kwa kunisaidia.kumuelewesha
Kuna watu bado wamelala, yani wanazidiwa maarifa hata na wachungaji wa makanisa ya kilokole. Ukienda kwenye kanisa la.kilokole utapewa task kulingana na umbile na.muonekano wako. Mvulana mrefu handsome " usher" (.mbeba kapu la.sadaka) msichana mrembo utapelekww kwenye kwaya ( ur an angel) mwanaume ukiwa na.sura nzito utawekwa kwenye kitengo cha " PRAYER WARRIORS" kazi y'ako itakuwa ni kukemea mapepo
 
Back
Top Bottom