Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna uhusiano gani kati ya tabia na fizi
Black mamba snake ( anasumu hatari na mdomo wake kwa ndani ni mweusi tii)Asante kwa kunisaidia.kumuelewesha
Kuna watu bado wamelala, yani wanazidiwa maarifa hata na wachungaji wa makanisa ya kilokole. Ukienda kwenye kanisa la.kilokole utapewa task kulingana na umbile na.muonekano wako. Mvulana mrefu handsome " usher" (.mbeba kapu la.sadaka) msichana mrembo utapelekww kwenye kwaya ( ur an angel) mwanaume ukiwa na.sura nzito utawekwa kwenye kitengo cha " PRAYER WARRIORS" kazi y'ako itakuwa ni kukemea mapepo
Tangu mwaka 2000?.aisee una moyoNimeishi na Mwanaidi Waro, tangu mwaka 2000 ana fizi nyeusi zake hazijawahi kunipa mashaka yoyote, she ever smiles and cheers in my appearence before her, ana mapokezi mazuri nirudipo nyumbani, ana ushauri mzuri nikoseapo jambo, sasa najiuliza Mwanaidi ananifanyia maigizo?
Sasa na wale mabinti kutoka senagal wanaoweka weusi(Tattooed) kwenye fizi(gums) ili kuvutia wanaume nao tuseme wanaroho mbaya kama ulivyo sema...Think manne..Akili mtu wangu!Fikra zangu zipo sahihi katika hilo
Umeshasema wameweka urembo so it is not natural. Kubali kwamba yapo maarifa ambayo huwezi fundishwa shuleni.Sasa na wale mabinti kutoka senagal wanaoweka weusi(Tattooed) kwenye fizi(gums) ili kuvutia wanaume nao tuseme wanaroho mbaya kama ulivyo sema...Think manne..Akili mtu wangu!
Acha kujizima data...Chukulia mfano nimekutana na binti simfahamu na wala sijui kama aliweka weusi kwenye fizi kwa lengo la urembo, Ikatokea nikavutiwa nae kuanzisha mahusiano na nikafanikiwa kwa hilo kisha nimekuja kukutana na uzi wako huoni kwamba unasababisha taharuki hapa wewe jamaa!Umeshasema wameweka urembo so it is not natural. Kubali kwamba yapo maarifa ambayo huwezi fundishwa shuleni.
Mkuu unachotakiwa kujua bado tunasumbuliwa, na mahadui watatu, sasa kwa andiko la jamaa, nadhani utagundua hadui aliempelekea kuwaza hivi.Hapa nina maswali;
1. Tunafahamu kuwa maumbile ya rangi ya fizi au ngozi mtu anazaliwa naye, kwa upande wa uchawi ni maarifa ambayo mtu anqfundishwa na kurithishwa na watu wake wa karibu baada ya kuzaliwa; SWALI ni vipi maumbile ya asili ya mtu yaendane na elimu anayoipata kwa watu wake wa karibu baada ya kuzaliwa?
2. Kuna uhusiano gani kati ya uchawi na rangi nyeusi, Je ni kweli wahusika wanawafundisha na kuwarithisha watoto wao uchawi kutokana na maumbile yao au rangi zao?
Hebu fafanua kidogo
Kanisa bila alama ya msalaba ni ware house. Vile vile Uzi huu bila picha ni MakeleleWatu wa zamani walikuwa na uwezo wa kuusoma miwili wa mwanadamu kama walivyo weza kusoma hali ya hewa ya nchi na tabia nchi kwa ujumla.
Mfano ( hii nina uhakika mayo kwa asilimia mia kwa sababu nime I experience) wanawake wanaotoka jasho kwenye pua huwaga wana mapenzi na upendo wa ukweli ni waaminifu kupita maelezo (.kama.Mungu amekujaalia mwanamke mwenye sifa hii basi usimzingue aisee) in addition to that wanakuwaga na nyota ya mafanikio kwa mwanaume wanae kuwa nae kwenye mahusiano.
Back kwa watu wenye fizi nyeusi.
Watu wenye fizi nyeusi wengi wao wana sifa moja kuu. WANA ROHO MBAYA SANA.
Wengi wao ni wachawi, washirikina, wachoyo, wafitini nakadhalika.
Mbaya zaidi ni mtu huyo anapokuwa;
1. Wa jinsia ya kike.
2. Ngozi ya rangi nyeusi ( dark skinned)
Kama ulikuwa hujui mbaroko ndo nakujulisha.
Usije sema hukujua
Take note.
Kujihisi tofauti ndio husababisha mengine.Kuna uhusiano gani kati ya watu wafupi na ukorofi?
Yes upo sahihi but mimi nazungumzia maumbile ya asili kwa mfano inaaminika " the sharp the noise the sharp the brain" watu wanene ( hawana akili)wanawake wenye midomo mikubwa wanna rosecoco pana, watu wenye upara wanna tabia zao kulingana na aina ya upara alio nao.. nakadhalika nakadhalika. Hoja ya uzi wangu ipo ktk muktadha huoKuusoma mwili wa binadamu ana tabia gani kuko kwa aina nyingi ikiwemo kujipamba na uvaaji. Kuna wale wanaotoboa pua na kuvaa kipini, kuna wale wanaopaka lip stick, kila rangi ya lip stick huwakilisha tabia fulani isiyo nzuri. Kuna wanaovaa kikukuu nao wana tabia zao zisizo njema. Haya mambo ni automatic yapo na wahusika ndivyo walivyo
Sio mkweli mkuu u have assumed.. hakuna mwafriia aloe mzalendo na uafrika wake kama.mimi.. mimi nimezungumzia uhalisia tu mkuuSioo kwelsoma uzi huu vizuri utagundua jambo moja kubwa UKOLONI.
Wazungu walipotutawala walipambana sana kutuaminisha kwamba waafrika au ngozi nyeusi ni watu wasio na maana, wachawi, washenzi wakorofi nk
Ndio maana ukiangalia magereza ya marekana 90% ya wafungwa ni watu weusi
Wazungu ni wabaguzi sana hasa kwa ngozi nyeusi na ndio maana mastaa karibu wote weusi wana kesi au wameshakuwa na kesi na wengine wamefungwa mf, R.Kelly, Mike Tyson, Michael Jackson nk hawataki mtu mweusi apate maganikio
Vitu vingi vibaya vimepewa jina "Black"
Black market nk
Hata ninachokiona kwa mleta uzi ni matokeo ya athari za wazungu zilizopandikizwa kwa mtu mweusi mwenyewe. Waafrika tumetawaliwa kifikra.
Waafrica tujitambue, tujikubali, tujipende tuache kuendkeza ujinga wa kimagharibi
Tupende na tuenzi tamaduni zetu hakuna wa kutufanyia haya ni sisi wenyewe
Wenzetu wachina, waarabu na wahindi walitambua hilo wakapenda na kuendeleza tamaduni zao na wamefanikiwa sana
Sisi tumebaki kuwa watu wa kuiga na kupokea kila tunacholetewa na vya kwetu tunaita uchawi na mizimu wao wanaita sayansi na watakatifu. Tunacheza kila ngoma wanayopiga wao kwanini tusipige yetu?!
Shame on us!
Sasa mkuu, uhalisia huwa unaambatana na uthibitisho au ushahidi,Sio mkweli mkuu u have assumed.. hakuna mwafriia aloe mzalendo na uafrika wake kama.mimi.. mimi nimezungumzia uhalisia tu mkuu
Mkuu upo so much taken by colonial education mentality.. utafiti tena? Kwamba niwape watu dodoso wajaze?Sasa mkuu uhalisia huwa unaambatana na uthibitisho au ushahidi,
Tuambie namna ulivyofanya utafiti, sample yako ilikuwa watu wangapi na kutoka wapi na ni kwa namna gani watu weusi / wenye fizi nyeusi walihusika kwenye maovu uliyoyasema.
MiiliWatu wa zamani walikuwa na uwezo wa kuusoma miwili wa mwanadamu kama walivyo weza kusoma hali ya hewa ya nchi na tabia nchi kwa ujumla.