Watu wenye fizi za rangi nyeusi wana roho mbaya

Watu wenye fizi za rangi nyeusi wana roho mbaya

Mkuu upo so much taken by colonial education mentality.. utafiti tena? Kwamba niwape watu dodoso wajaze?
Utafiti sio elimu ya kikoloni,
Utafiti ulifanywa na Bibi na babu zetu hata kabla ya ukoloni na elimu ya kikoloni.
Wafugaji walifanya utafiti wa maeneo mazuri kwa malisho ya wanyama na walipofanikiwa walihamia huko
Wakulima pia, wafanya biashara nk

Hata wewe kabla ya kujiunga Jf ulifanya utafiti ukaridhishwa kwamba ni mtandao unaokidhi haja yako ya kutoa maoni bila kubugudhiwa ndio ukajiunga.
 
Aisee
 
Wanawake wenye fizi nyeusi wakitabasamu wanavutia sana wanakuwa wakipekee.
Liqud kaka usitutishe hizi item za fizi tusiziogope tukikutana nazo.
 
Mkuu,

Nimtag mpwa wako nimwambie umetukana? [emoji28]
Dah!

Kausha mkuu. Please 🙏🏿

Mpwa ataniona mi mtu wa hovyo. Halafu nilisikia habari nzuri sana kwamba keshakupiga chini. Ni kweli? Nilifurahi sana siku hiyo na kwa mara ya kwanza maishani mwangu nilionja K-Vant. Naomba iwe kweli! 😁😁😁
 
Wee!!

Hizi habari za kunipiga chini ulizisikia kutoka kwake? Kweli habari mbaya husambaa mapema.

Aaliyyah njoo useme neno hapa,hizi shutuma zimekaaje?
 
Mimi niliambiwa watu wenye mwanya Wengi Wana roho nzuri...
But nishakutana na wenye mwanya roho mbaya Sana Hadi wachawi
 
Sijawahi na siwezi kuwa na demu mwenye fizi nyeusi. Fizi nyeusi is an automatically switch off to me. Kwenye ukoo wetu hatuna watu wenye fizi nyeusi
hongera sana mna bahati mlizikataa au mlijikuta hivyo, hicho ni kitu cha kuwa proud nacho kweli ?
 
Maumbile ya mwili Yana uhusiano mkubwa na tabia by LOMBROSO

Nenda Rwanda wadada wareeefuuuu, warembo, meno meupe pee!! FIZI NYEUSI TIII. Tafakari
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom