Watu wenye fizi za rangi nyeusi wana roho mbaya

Elezea kwa mifano hai nini kilikukuta baada ya kuwa na mwanamke mwenye fizi nyeusi... Ili tukuelewe zaidi...
Siwezi kuwa na.mwanamke mwenye fizi nyeusi. Fizi nyeusi is an automatic switch off to me
 
Haya ni matatzo ya imani.

Hizi pia ni athari/madhara ya idea ya Mungu.

Kila kitu kinataka kutafsiriwa kiimani tu, na mwisho wa siku unasababisha uchochezi.

Unasababisha ubaguzi na watu wa sifa hizo watengwe.

Tusiishi kwa imani, hakuna uhusiano wa sifa za kimwili (maumbile) na tabia ya mtu.
 
SASA watu wenye fizi nyeusi wengi wao wanakuwaga na husda na chuki hawapendi maendeleo ya watu wengine
Nimeishi na Mwanaidi Waro, tangu mwaka 2000 ana fizi nyeusi zake hazijawahi kunipa mashaka yoyote, she ever smiles and cheers in my appearence before her, ana mapokezi mazuri nirudipo nyumbani, ana ushauri mzuri nikoseapo jambo, sasa najiuliza Mwanaidi ananifanyia maigizo?
 
Wewe unataka watanzania tuanze baguana sababu ya fizi itakuwa kichekesho😄😄
 
Ujinga kuisha Africa bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…