Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

Sijapendaaa

Ko sisi wanene tumekukosea nini
 
Sipendi vitu vya hivyo show show za kijinga.....mtu akipika kuku eti anarekodi video anaweka status wtf!!! Akinunua kochi status, kifunguo cha gari ndio kabisaaa Oooh hayanihusu lakini 😃
Actually sio kwamba hupendi
Ila hizo levels ushavuka...
Kuna levels ukivuka ukiona wengine wanahangaika na show off unawaonea huruma ...na kuvuka sio lazima uwe navyo ...hata kama umevitumia Sana inakuwa umevizoea...

Mtoto aliepelekwa na gari shule toka primary hawezi hangaika na Ku post IST akija kununua ukubwani...
Kashavuka levels....

Yule toka anazaliwa hata mjomba Hana gari bovu la kuchezea ..siku akipata lazima mji mzima ujue
 
Sipendi vitu vya hivyo show show za kijinga.....mtu akipika kuku eti anarekodi video anaweka status wtf!!! Akinunua kochi status, kifunguo cha gari ndio kabisaaa Oooh hayanihusu lakini [emoji2]
[emoji28][emoji28]

Nina dada yangu wa kuzaliwa kabisa, akipika chakula kizuri simu yake inateseka sana kwa mavideo na mapicha huko status.

Hata ukitoka naye, chakula kikija kabla ya kula ni lazima apige picha na kuchukua video. Aisee nimemsema sana naona amepunguza siku hizi.
 
Naona tu nimevuka kiumri 😁 mali sina....ila Sijawahi kuelewa kabisa show show za hivo, kuna watu wakiazima gari basi anaweka funguo kiunoni aseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…