Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

Mi hayo maisha siyapendi, ndio sababu kuu kujitoa kwenye jamii (kazini) ukiumwa au kujifungua basi wanakuja ukiweka msosi wapiga picha watume kwenye group huko la kazini.... mamaeeeehhh mmekuja kupiga picha nyumbani kwangu ningetaka si ningepost mwenyewe 🤣🤣🤣 nshawaambia marufuku mtu kuja kuj😂😂😂
 
Mwenye hela huwa mpole na mwembamba wa wastani na muonekano wa afya njema.
Masikini huwa na maneno mengi sifa kwake hazishi, akikusaidia miaka 10 baadae atakumbusha msaada wake kwako. Pia afya zao huwa hafifu kula ovyo ovyo(kitambi kubwa)
Ukiwa tajiri wa hela kuwa tajiri wa afya pia.
Do khaleed masikini?
 
Wasukuma hatujui kuongea sauti ya chini....si eti kaka Shimba ya Buyenze
Hahaha siku moja JNIA majira ya saa 9 kama sijakosea..
Mama/bibi mmoja wa kisukuma akapokea simu toka kwa mwanaye nahisi alikuwa Mwanza kwasababu huyo bibi alikuwa kwenye foleni kuelekea mlango wa kwenda kupandia airbus ya Mwanza

Bibi...niambieee mujuu wangu Joyisi, napandaaa ndege muda huu ninakujaaa na zawadiiii.

Yaani lounge yote ilicheka hatari🤣🤣🤣🤣

Sauti iko juu kama vile anamsemesha mtu yuko mbali sana.
 
Hahaha sikumoja JNIA majira ya saa 9 kama sijakosea..
Mama/bibi mmoja wa kisukuma akapokea simu toka kwa mwanaye nahisi alikuwa Mwanza kwasababu huyo bibi alikuwa kwenye foleni kuelekea mlango wa kwenda kupandia airbus yao.

Bibi...niambieee mujuu wangu Joyisi, napandaaa ndege muda huu ninakujaaa na zawadiiii.

Yaani lounge yote ilicheka hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sauti iko juu kama vile anamsemesha mtu yuko mbali sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
.......shida ya hao watu pia ni ile kujikweza hata mbele ya watu wasiowafahamu wala kufahamika kwao.....sometimes unajishusha na kukubali kuwa ana uwezo kuliko wewe lakini cha ajabu utaona bado anakuletea pozi wewe uliyejishusha kwake mimi nilijua watu wa hivi uwa wanajitutumua labda Kwa watu waliowadharau kabla ya mafanikio yao.....mf: unakuta anajua kabisa kuwa Mimi nafahamu yeye ana gari la kifahari na miradi mikubwa lakini mkikutana hoteli lazima achomoe funguo aizungushe kwenye vidole, au anakwambia 'leo bana lazima niingize million sita aisee' ......
Lakini all in all tunatakiwa kukubali kila mtu ana namna yake ya kufurahi hata kama inamuumiza au kuwaza mwingine......nafikiri tuwe calm, wapole, mambo mengine ni mapungufu ya kibinadamu, unamchukulia mtu alivyo then unaangalia namna nzuri ya kuishi nae, ukijali sana utaonekana una wivu......

Sio kila anayening’iniza ni show offs. Wengine ni kwa usalama zaidi..
Hii ni justification tu mnatafuta.

Kuna mtu mmoja nilimuuliza kwanini ananing'iniza funguo kiunoni akasema eti akizichanganya funguo na simu, simu yake inachubuliwa screen na funguo za gari kwasababu ya msuguano [emoji28][emoji28]..

Mara eti kwenye lux kuna usalama zaidi kwasababu akilewa hawezi kupoteza funguo [emoji2][emoji2]...
 
.......shida ya hao watu pia ni ile kujikweza hata mbele ya watu wasiowafahamu wala kufahamika kwao.....sometimes unajishusha na kukubali kuwa ana uwezo kuliko wewe lakini cha ajabu utaona bado anakuletea pozi wewe uliyejishusha kwake mimi nilijua watu wa hivi uwa wanajitutumua labda Kwa watu waliowadharau kabla ya mafanikio yao.....mf: unakuta anajua kabisa kuwa Mimi nafahamu yeye ana gari la kifahari na miradi mikubwa lakini mkikutana hoteli lazima achomoe funguo aizungushe kwenye vidole, au anakwambia 'leo bana lazima niingize million sita aisee' ......
Lakini all in all tunatakiwa kukubali kila mtu ana namna yake ya kufurahi hata kama inamuumiza au kuwaza mwingine......nafikiri tuwe calm, wapole, mambo mengine ni mapungufu ya kibinadamu, unamchukulia mtu alivyo then unaangalia namna nzuri ya kuishi nae, ukijali sana utaonekana una wivu......

Neno mkuu! Nimelichukua.
 
Back
Top Bottom