Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

kamba
 
acha bodaboda ni kazi ya laana
 
Mpaka hapo ushajimwambafy ww ni mwenye nazo sabab unavojitahidi kwamba hujioneshi kama patna, vile ulivotuaminisha wenye nazo ni watu hamble japo umesahau wahaya mwenye nazo na kapuku huwezi watambua kirahis wote wanavimba
[emoji28][emoji28]
 
Nawewe tunga yako.
Pumbav.
Unamjua msimukiaji?
Nashukuru kwa kunisaidia kujibu mkuu.

Nilichogundua ni kwamba baadhi ya wadau humu ndani wana wivu sana, wataalamu wanaita sonono. Ukipost jambo ambalo ni halisi kabisa, wao wanalipima kwa kulilinganisha na hali zao za maisha[emoji28]

Kila story wanadhani ni ya kutunga. Pathetic!
 

Tuachane na usahihi wa story ila umenikumbusha humu kama mwezi uliopita Kuna jamaa humu jf aliita gari ya harrier matako ya nyani basi alioga matusi kwa mwamba mmoja nilibaki nasoma tu comment zao😂😂

Yani inakupa jibu aina ya watu
 
Tuachane na usahihi wa story ila umenikumbusha humu kama mwezi uliopita Kuna jamaa humu jf aliita gari ya harrier matako ya nyani basi alioga matusi kwa mwamba mmoja nilibaki nasoma tu comment zao[emoji23][emoji23]

Yani inakupa jibu aina ya watu
Humu kuna watu wa aina zote mkuu, inabidi kuishi nao hivyohivyo tu [emoji28][emoji28]
 
Hasa afya ya akili ku mkichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…