bro vitu vingine kumwachia Mungu ni uzembe sana na n dalili ya uvivuHapo mdau ndiyo unakosea, familia hawaachiwi urithi wa hela. Ila urithi wa wazo la ubunifu lililozaa hela ndicho unatakiwa kuwaachia familia. Pia usipende kuingilia majukumu yasiyokihusu, Mungu kawaandalia wanao namna ya kutoka kimaisha.
Bro mama yako?bro vitu vingine kumwachia Mungu ni uzembe sana na n dalili ya uvivu
Nakataa dada, kuku hawawezi kosa soko hata siku moja...Kuajiriwa is not a problem, problem ni wewe na akili yako mgando, when you think self employment while unafanya kitu common. Vijana mnajipoteza kwa kuchukia serikali, kuchukia kazi zenu rasimi, na kujifanya kwenda kufungua miradi ambayo kila mtu anaweza fanya matokeo yake mnajaza soko bidhaa/services zinakosa wanunuaji
Nimependa hii pt, kujilundikia mali kisa watoto watarithi tunakosea, nguvu tupeleke kwenye malezi bora na elimu, umenikosha kwa hili..Hapo mdau ndiyo unakosea, familia hawaachiwi urithi wa hela. Ila urithi wa wazo la ubunifu lililozaa hela ndicho unatakiwa kuwaachia familia. Pia usipende kuingilia majukumu yasiyokihusu, Mungu kawaandalia wanao namna ya kutoka kimaisha.
Ahsante mkuu kwa mchango wako,bado umepanga kwenye nyumba ya mjasiriamali au umeshajenga kwako?😛😛😛😛😛😛Ajira nyingi za Tanzania znakuhakikishia kula, kodi, na mavazi, ila kwa mambo makubwa utakuwa ukimezea mate wenzio tu
Watu waliojiajiri nawaheshimu sana ,nawaheshimu sana
Nmejaribu kuangalia nyumba nyingi tunazopanga huku mtaani ni za kina Nani?, nmejijibu mwenyewe kuwa nyumba nyingi ni za watu waliojiajiri .kwahiyo wewe endelea na dharau zako
Huenda umepanga na unaish kwenye nyumba ya mjasiriamali afu unaleta nyodo hapa.
Kaa kimya kama umepata ajira na inakulipa vizuri, sio kuongea umbea kama hu.
Ajila ndio nini mkuu?Ujinga ni pale kila aliyeajiliwa anachukia kazi yake, anathamini kufuga kuku kuliko ajila
Ukweli wengi wa walio ajiriwa wanaishi kwenye nyumba za walio jiajiri.Ahsante mkuu kwa mchango wako,bado umepanga kwenye nyuma za wajasiriamali?😛😛😛😛😛😛
Wewe si unajua kiswahili si urekebisheAjila ndio nini mkuu?
Moja ya akili za hovyo kuwahi kutokea katika uso wa duniaWe ni miomgoni mwa wale wasiotumia akili, mnadhani maisha yanaanza na hela, ni ulimbukeni wa vijana siku hizi kudhani kujiajiri ni kuingiza hela kwa miradi inayoweza kuwa duplicated kiurahisi na watu wengine. Badala ya kupenda kazi zetu, kuwa wabunifu, tumekuwa na mawazo makapi ya kusikia eti ufugaji wa kuku unalipa kila mtu anakimbilia huko huko, yaani nakuhakikishia ukiacha kazi kwa huo mradi wako ambao kila mtu anaweza copy na kufanya utajuta
Kuuza ujuzi wako na mda wako kwa kias fulani cha fedhaAjila ndio nini mkuu?
Atafutiwe Mchungaj wa kujitegemea kwa ajili ya maombi na maombezi huyoMoja ya akili za hovyo kuwahi kutokea katika uso wa dunia
Nadhani wewe kichwani huna kitu. Tatizo lako ni mpinga maendeleoMoja ya akili za hovyo kuwahi kutokea katika uso wa dunia
Hahahaha, mnachekesha sana nyie wapinzani. Akili zenu zimenunuliwa na mbow. Hamtaki kusikia ukweliAtafutiwe Mchungaj wa kujitegemea kwa ajili ya maombi na maombezi huyo
Wala tu, Kwanni umedhani hivo mkuu?Hahahaha, mnachekesha sana nyie wapinzani. Akili zenu zimenunuliwa na mbow. Hamtaki kusikia ukweli
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahaha, mnachekesha sana nyie wapinzani. Akili zenu zimenunuliwa na mbow. Hamtaki kusikia ukweli
Huyo ni Lofa mkuu achana nae.Atafutiwe Mchungaj wa kujitegemea kwa ajili ya maombi na maombezi huyo
Huenda Mkuu ,kuwa mjinga ni hasara sana .Huyo ni Lofa mkuu achana nae.
Mkuu usiwasemee watu, nimekuuliza ww uneshajinga kwako au bdo umepanga kwa mjasiriamali??😛😛Ukweli wengi wa walio ajiriwa wanaishi kwenye nyumba za walio jiajiri.