Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Ajira nyingi za Tanzania znakuhakikishia kula, kodi, na mavazi, ila kwa mambo makubwa utakuwa ukimezea mate wenzio tu

Watu waliojiajiri nawaheshimu sana ,nawaheshimu sana

Nmejaribu kuangalia nyumba nyingi tunazopanga huku mtaani ni za kina Nani?, nmejijibu mwenyewe kuwa nyumba nyingi ni za watu waliojiajiri .kwahiyo wewe endelea na dharau zako

Huenda umepanga na unaish kwenye nyumba ya mjasiriamali afu unaleta nyodo hapa.

Kaa kimya kama umepata ajira na inakulipa vizuri, sio kuongea umbea kama hu.
 
Kuajiriwa is not a problem, problem ni wewe na akili yako mgando, when you think self employment while unafanya kitu common. Vijana mnajipoteza kwa kuchukia serikali, kuchukia kazi zenu rasimi, na kujifanya kwenda kufungua miradi ambayo kila mtu anaweza fanya matokeo yake mnajaza soko bidhaa/services zinakosa wanunuaji
Nakataa dada, kuku hawawezi kosa soko hata siku moja...
 
Hapo mdau ndiyo unakosea, familia hawaachiwi urithi wa hela. Ila urithi wa wazo la ubunifu lililozaa hela ndicho unatakiwa kuwaachia familia. Pia usipende kuingilia majukumu yasiyokihusu, Mungu kawaandalia wanao namna ya kutoka kimaisha.
Nimependa hii pt, kujilundikia mali kisa watoto watarithi tunakosea, nguvu tupeleke kwenye malezi bora na elimu, umenikosha kwa hili..
 
Ajira nyingi za Tanzania znakuhakikishia kula, kodi, na mavazi, ila kwa mambo makubwa utakuwa ukimezea mate wenzio tu

Watu waliojiajiri nawaheshimu sana ,nawaheshimu sana

Nmejaribu kuangalia nyumba nyingi tunazopanga huku mtaani ni za kina Nani?, nmejijibu mwenyewe kuwa nyumba nyingi ni za watu waliojiajiri .kwahiyo wewe endelea na dharau zako

Huenda umepanga na unaish kwenye nyumba ya mjasiriamali afu unaleta nyodo hapa.

Kaa kimya kama umepata ajira na inakulipa vizuri, sio kuongea umbea kama hu.
Ahsante mkuu kwa mchango wako,bado umepanga kwenye nyumba ya mjasiriamali au umeshajenga kwako?😛😛😛😛😛😛
 
We ni miomgoni mwa wale wasiotumia akili, mnadhani maisha yanaanza na hela, ni ulimbukeni wa vijana siku hizi kudhani kujiajiri ni kuingiza hela kwa miradi inayoweza kuwa duplicated kiurahisi na watu wengine. Badala ya kupenda kazi zetu, kuwa wabunifu, tumekuwa na mawazo makapi ya kusikia eti ufugaji wa kuku unalipa kila mtu anakimbilia huko huko, yaani nakuhakikishia ukiacha kazi kwa huo mradi wako ambao kila mtu anaweza copy na kufanya utajuta
Moja ya akili za hovyo kuwahi kutokea katika uso wa dunia
 
Back
Top Bottom