Ajira nyingi za Tanzania znakuhakikishia kula, kodi, na mavazi, ila kwa mambo makubwa utakuwa ukimezea mate wenzio tu
Watu waliojiajiri nawaheshimu sana ,nawaheshimu sana
Nmejaribu kuangalia nyumba nyingi tunazopanga huku mtaani ni za kina Nani?, nmejijibu mwenyewe kuwa nyumba nyingi ni za watu waliojiajiri .kwahiyo wewe endelea na dharau zako
Huenda umepanga na unaish kwenye nyumba ya mjasiriamali afu unaleta nyodo hapa.
Kaa kimya kama umepata ajira na inakulipa vizuri, sio kuongea umbea kama hu.