Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

Ghana yenyewe imeingia bankruptcy kutokana na ushenzi wa viongozi.

Hao Botswana washukuru mabepari wa kijerumani waliopo pale, at least kuna mwanga kwao.
 
Anza wewe kutokuandika maana na wewe ni mweusi Sasa akili umezipata wapi
 
South ilipo haribu n kulegeza masharti ya wageni kuingia pale watu wageni ndo wameharibu south
 
Ninasemaga mara kwa mara kwamba SELFISHNESS ndio shida yetu kuu Africa !! Siku ikiondoka hiyo kitu mioyoni mwetu Africa itaendelea sana !! Watu wengi wanafikiria kujilimbikizia mali tu badala ya kufikiria kuziendeleza Nchi zao !! SELFISHNESS ndio Adui yetu Mkuu !!
 
Unataka upinde waje watuongoze wewe
 
Watu weusi tuna akili nadhani walioingia kwenye siasa na wanaotuongoza siyo wabunifu na uwezo wao haukidhi matakwa ya ofisi walizokalia
Mara paap unaukwaa urais. Unafikiri kuna lo lote ambalo utaweza kufanya ili kubadili mifumo hii ya kinyonyaji iliyowekwa na wakubwa wa dunia?

Angalizo: Ukijichanganya unauliwa!
 
Umenena vyema kabisa.
 
Na uwakika hujawahi kufanya kazi wala kuishi na watu weupe la sivyo usingeandika hivi.
 
Si mmekataa serikali ya majimbo lakini! Huu mfumo ungeleta maendeleo sana hasa mikoa yenye rasilimali kubwa kusaidia mikoa ya jirani yake ambayo iko less fortune.
Mkuu, kwa kweli kwa sasa Tanzania ilipawa kuendeshwa ki-majimbo tena yasizidi 7. Serikali ya Majimbo huleta maendeleo ya haraka kwenye Jimbo na Nchi kwa ujumla. Majimbo yote yapo vizuri kiuchumi. Kwa mfano:- 1. JIMBO LA KUSINI; kuna Korosho, Tumbaku, gas, madini, mafuta, makaa ya mawe, bandari, uvuvi n.k; 2. JIMBO LA PWANI: korosho, uvuvi, viwanda, kilimo, bandari, kiwanja cha ndege, gas, madini n.k; 3.JIMBO LA KASKAZINI MASHARIKI: bandari, mkonge, kahawa, madini, utalii, uvuvi, mifugo n. k; 4;
JIMBO LA KASKAZINI: Madini, mifugo, uvuvi, pamba, kahawa utalii n.k; 5; JIMBO LA KATI: Madini, Zabibu, Alizeti, mifugo, viwanda, utalii n.k;
6. JIMBO LA MAGHARIBI: Madini, uwindaji wa kitalii, uvuvi, mawese, nk; 7 JIMBO LA KUSINI NYANDA ZA JUU; madini, uvuvi, Kahawa, vanilla, pareto, mbao, chai, makaa ya mawe n.k..
Mazao mengine yote ambayo hayakutajwa kwenye majimbo yanapatikana kwenye majimbo karibia yote.
Kwa mantiki hiyo kila JIMBO LIPO VIZURI
 
Na uwakika hujawahi kufanya kazi wala kuishi na watu weupe la sivyo usingeandika hivi.
Nimeishi na kufanya kazi na wachina naelewa nacho zungumza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…