Kwa uandishi huu kweli nimeamini wewe ni mtu mweusi na huna akili.
Uwaachie nchi kwa miaka 100 wakutawale halafu baada ya hiyo miaka ujipenyeze kuchukua utawala??!!--- kwa akili hiyo hata ya kuku inayo afadhali.
Katika hiyo Miaka 100 wewe hutakuwepo, na tayari itakuwepo generation nyingine na mabadiliko ya kiuchumi na kijamii na mitazamo mipya kiasi kwamba hiyo azima ya wetu weusi kujipenyeza kushika madaraka ikawa ni ndoto ukizingatia kwamba madaraka yalivyokuwa matamu na ukute hao mliowakabidhi nchi wawe ni makatili/madikteta hapo ndio kabisa usahau kushika madaraka na utakuwa umejiingiza kwenye ukoloni/utumwa kwa kujitakia.
Turidhike na hali zetu na tujibidishe kwa kadiri tutavyoweza kwani akili hizi na uwezo wetu katupatia Mungu na wala sio kutokana na juhudi zetu binafsi, basi tusijidharau na kumkufuru Mungu kwani yawezekana hii hali yetu unayoiona dhalili labda ni makusudio fulani ya Mungu ambayo hatuyajui ambapo faida yake tutakuja kuiona bila kutarajia, isitoshe binadamu hatuwezi wote kulingana, hata maumbile yetu ni tofauti sasa hii ipo juu ya yule aliyetuumba.
Wazungu ndio wameendelea sana lakini hao ndio mashoga wa kutupwa na Uchafu wao huo wangependa kuuleta huku kwetu, ilmuradi hakuna zuri lisilokuwa na kasoro.