Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora mkoloni mweupe alituletea maendeleo ajira zilikuwa tele,kilimo uhakika wa soko, biashara zililipa,nk ni tamaa na ubinafs tu wa wapigania uhuruTumetoka kwa mkoloni mzungu tumeingia kwa mkoloni mweusi.
Umasikini kwao ni mtajiHili ni tatizo tunazidi kuji chimbia kaburi sisi wenyewe.
Watu weusi tuna akili nadhani walioingia kwenye siasa na wanaotuongoza siyo wabunifu na uwezo wao haukidhi matakwa ya ofisi walizokalia
[emoji1787][emoji23]Hahaha ila kweli kabisa mkuuKila siku hua nasema humu naonekana mbaya narudia tena Nyerere na mashoga zake waliojifanya kudai Uhuru wakati tulikua hatujaweza kujitawala bado ndio wametufikisha hapa Sisi watu weusi bado hatuna uwezo wa kujitawala tuliwahi sanaa kuwafukuza wakoloni muda ulikua bado tunakoelekea vizazi vitakuja kufahamu hili hawa kina Nyerere walikua na tamaa ya uongozi tu hatutakiwi kuwasifia ilitakiwa tuchape makaburi Yao bakora za kutosha yametuingiza kwenye shida nyingi Kwa sababu ya Shobo dundo zao
Yaani mwana unataka tupumuliwe kisogoni Kirahisi hivyo? But anyway, naunga mkono hoja! Sisi Waafrika weusi hatukuwa tayari kujiongoza. Huo ndio ukweli mweupe.Bora tuwe na mashoga ila wanajua kuipangilia nchi na kila kitu kinapatikana kwa muda unaofaa,Kuliko kuwa na Viongozi kama wa wakati huu akili zao wanawaza kukopa tu kila siku.
Hela wanakopeshwa wanakuja kununua mabasi,Magari ya kubeba Makaa ya mawe na kujenga majumba kwa manufaa yao tu na kuwasahau watanzania wenzao, huku wanazuga na mabaibui na matai ya bendera ya Taifa.
Ww ndo mjinga na kilaza wa kutupa!! Nakutolea mfano tanzania ni miongoni mwa nchi zilizozungukwa na maji kila upande. Kuna maziwa makubwa kabisa Victoria, tanganiyika na nyasa, kuna mito mikubwa isiyokauka maji kwa mwaka mzima lkn nchi hii angalia watu wanavoteseka kupata maji kama vile tupo jangwani!
Nchi hii Ina ardhi kubwa sana yenye rutuba kwa ajili ya kilimo lkn safari uone ardhi inavostawisha vichaka tu! Je tatizo ni nn kama sio ukilaza wa mtu mweusi!
Nchi hii KM chache tu kutoka migodini kuna shule hazina vyoo wala madawati! Je hizi rasilimali tulizopewa zina faida gn? Ukweli ni kwamba mtu mweusi amelaaniwa na ni mjinga sana..
Ahsante mkoa wa Geita hutoa 70% ya gold yote Tz thamani ya dola karibu y bilioni 3 kwa mwaka yeti mji waGeita hauna stend je hapa tu.laumu mzu.ngu?Wewe ndio huna akili jinga kabisa
Mji kama Geita inatoka Dhahabu Ila mji hauna lami za uhakika mkiambiwa weusi hawana akili unachukia
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwa uandishi huu kweli nimeamini wewe ni mtu mweusi na huna akili.
Uwaachie nchi kwa miaka 100 wakutawale halafu baada ya hiyo miaka ujipenyeze kuchukua utawala??!!--- kwa akili hiyo hata ya kuku inayo afadhali.
Katika hiyo Miaka 100 wewe hutakuwepo, na tayari itakuwepo generation nyingine na mabadiliko ya kiuchumi na kijamii na mitazamo mipya kiasi kwamba hiyo azima ya wetu weusi kujipenyeza kushika madaraka ikawa ni ndoto ukizingatia kwamba madaraka yalivyokuwa matamu na ukute hao mliowakabidhi nchi wawe ni makatili/madikteta hapo ndio kabisa usahau kushika madaraka na utakuwa umejiingiza kwenye ukoloni/utumwa kwa kujitakia.
Turidhike na hali zetu na tujibidishe kwa kadiri tutavyoweza kwani akili hizi na uwezo wetu katupatia Mungu na wala sio kutokana na juhudi zetu binafsi, basi tusijidharau na kumkufuru Mungu kwani yawezekana hii hali yetu unayoiona dhalili labda ni makusudio fulani ya Mungu ambayo hatuyajui ambapo faida yake tutakuja kuiona bila kutarajia, isitoshe binadamu hatuwezi wote kulingana, hata maumbile yetu ni tofauti sasa hii ipo juu ya yule aliyetuumba.
Wazungu ndio wameendelea sana lakini hao ndio mashoga wa kutupwa na Uchafu wao huo wangependa kuuleta huku kwetu, ilmuradi hakuna zuri lisilokuwa na kasoro.
Umemtafsiri kama nilivyofanya mimi.Wewe ni bipolar psychopath wala hamna haja ya kubishana au kuku elimisha!
Have a nice day!
Hata za kuongoza familia hawana, wakipata pesa kidogo wanawaza waongeze wanawake 😏Wanaweza kuwa na akili ila siyo za kuongoza nchi, pengine familia zao.
Kuna mahali nimeandika hapo kuwa omba kwa huruma.
Tuliza kichwa soma uelewa kabla ya kujibu.
hawa watu watuongoze kwa zaidi ya miaka mia moja (100) mpaka pale tutakapo ona kuwa sasa tumepata akili ndipo tutaanza kujipenyeza kwenye uongozi na sisi kuongoza.
Kwani wewe sasa sio mtumwa wa mkoloni mweusi mwenzako ambae ni CCM au kwa uwezo mdogo wa kufikiri unadhani mkoloni ni mzungu tu.
Afrika na Waafrika hawajawahi kuwa huru kama tuna nuka umasikini na ujinga, hakuna uhuru kwenye umasikini na ujinga. tabaka la watawala na watawaliwa weka kichwani hiyo.
Umeona sasa jinsi ulivyo kosa akili.