Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

Tumetoka kwa mkoloni mzungu tumeingia kwa mkoloni mweusi.
Bora mkoloni mweupe alituletea maendeleo ajira zilikuwa tele,kilimo uhakika wa soko, biashara zililipa,nk ni tamaa na ubinafs tu wa wapigania uhuru
 
Kwa nini watu weusi wenye akili wameshindwa kuingia kwenye siasa??
Watu weusi tuna akili nadhani walioingia kwenye siasa na wanaotuongoza siyo wabunifu na uwezo wao haukidhi matakwa ya ofisi walizokalia
 
[emoji1787][emoji23]Hahaha ila kweli kabisa mkuu
 
Yaani mwana unataka tupumuliwe kisogoni Kirahisi hivyo? But anyway, naunga mkono hoja! Sisi Waafrika weusi hatukuwa tayari kujiongoza. Huo ndio ukweli mweupe.
 


Kama mtu mweusi kalaanika basi kuwapa nchi yetu watu wengine kuiongoza na sisi tuwe kama watumwa ndani ya nchi yetu hiyo itaongeza LAANA ZAIDI,

Kuitoa sadaka nchi au tuseme kuikodisha nchi kama Bodaboda/Bajaji kwa Wageni ni laana kubwa bali n iwendawazimu na huko ni sawa na kuuza uhuru na utu wetu kwa thamani ndogo.

Mimi sipingi mapungufu yetu ya kiuongozi katika nchi yetu ninachopinga ni njia mnayopendekeza ya kutanzua hayo matatizo ni njia ya kishenzi ambayo haijawahi kufanywa hata na nchi zilizowahi kuongozwa na wehu.

Jaribuni kupendekeza njia zingine na sio njia za kishenzi za kutelekeza uhuru na heshima yetu kwa Wageni huko ni kakaribisha utumwa.
 
Hakuna mtawala wa kiafrica anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake
 
Key points ni kununua management ya kutuongoza toka nje kwa mkataba maalumu na sio kuwapa tena nchi hao wageni.
Hawa kula kulala kamwe msitegemee mabadiliko yeyeto itafika jubilee ya uhuru still zile shida toka uhuru zipo pale pale
 

MUNGU alikuwa na makusudi ya kuibalance dunia, afrika ni kwa ajili ya raslimali za dunia
 
Kuna mahali nimeandika hapo kuwa omba kwa huruma.

Tuliza kichwa soma uelewa kabla ya kujibu.


Kujipenyeza hapo unamaanisha nini??

hawa watu watuongoze kwa zaidi ya miaka mia moja (100) mpaka pale tutakapo ona kuwa sasa tumepata akili ndipo tutaanza kujipenyeza kwenye uongozi na sisi kuongoza.
 


Kwahiyo hao Wazungu weupe na Waasia unaotaka waje wazae na dada yako ili upate kizazi bora ndio watakuondoa kwenye utumwa wa fikra??--- Wewe unadhani kila mtu mweupe ni bora sana kuliko mtu mweusi??.

Hivi wewe elimu yako ni ya darasa la ngapi??, tuanzie kwanza hapo kisha tuendelee.
 
Umeona sasa jinsi ulivyo kosa akili.


Katika hao watu weupe unaowapenda na kuwaona ni bora sana kuliko mtu mweusi pia wapo Wahalifu, Mashoga, Wazinzi nk, sasa hebu niambie utafuata kigezo gani cha kuwapata hao rafiki zako weupe unaowapenda na uwakabidhi wawe viongozi katika nchi yako bila kuwapata wahalifu??

Lazima ukubali kwamba uhalifu pia upo kwa watu weupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…