Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Mkuu figisu alizochezewa mtu mweusi hazijafanyika ndani ya mwaka au miaka 10,ni zaidi ya miaka 500.
Waafrika jamani tutafute historia halisi ya Waafrika iliyoandikwa bila bias yoyote.

Sasa unafikiria uvamizi uliofanywa,uporoji wa mali asili na nguvu kazi,uharibifu wa ujuzi/elimu ya mwafrika,ufutaji wa utamaduni wetu,upandikizaji wa mfumo wa elimu usioendana na mazingira yote ya Kiafrika,ukoloni rasmi,ukoloni mambo leo,ubaguzi wa rangi unafikiri madhila haya yote yanaweza yakafanya mtu kusimama katika ukuu wake?Kwa msaada zaidi kama unataka kujua tafuta kitabu cha mwanahistoria nguli wa Kisenegali,anaitwa Cheikh Anta Diop kinaitwa,African Origin of Civilization, Myth or Reality. Bwana Diop alikuwepo kwenye mkutano maarufu wa UNESCO miaka ya 70 iliokua unajadili asili ya watu wa Misri ya kale,huyu bwana aliwashinda Wazungu pale alipothibitisha hoja kua lugha ya Wamisri wa kale ilikua inashabihiana sana na lugha ya kabila huko Senegali hivyo basi hao Wamisri wa kale walikua ni watu wenye asili ya weusi.Kwa maana hiyo Wamisri asili[Achana na hawa waarab unaowaona sasahivi ambao walikuja hapo baada ya Misri kutekwa na Waroma,baadae Wagiriki na ndio wakaja Ottomans(waarab)] ndio waliwafundisha akina Plato na Aristotle hiyo philosophia wanaosemekana wao ndio wababa .
Mkuu

Hayo yote tunafanyiwa mwafrika alikuwa wapi?

This proves afro weak marbles
 
So kweli, wao walistaarabika kitambo, MTU alitoka Africa mweusi akaenda kote duniani, zeruzeru walikuja baadae sana, mbona kuna ushahidi wa ustaarabu wa hali ya juu Zimbabwe na Sudani kusini, miongoni mwa hao wabantu babuzo uwachukiao michoro ya mapangoni imetapakaa duniani kote alichora nani?
Sifa hizo za wabantu ulizozisema ndio wataaluma wamesema zilikuwa za wa misri wa zamani, Azraeli baada ya kupatamaarifa una kengeuka tena? Pia una leta maneno bila ushahidi, kwetu sisi mweusi ni mbantu,muhadzabe, mmasai babu ya hayo tustsi Somali na habeshi yaani vizazi vya wa mbulu na wa Iraq, pia ndio chanzo cha weupe, ambao tuliwafukuza mazeruzeru wakakimbilia uhamishoni na kuoana wao kwa wao ndio chanzo cha weupe hao, mbona mzungu alikuwa vyoo vya shimo mpaka majuzi tu hapa karne ya 15-16, 17 nyie mnabisha bila ushahidi mambo ambayo wao wamekiri kwa ushahidi, mgunduzi wa gari, chanjo ya polio na baruti walikuwa watu weusi
Hao watu weusi walitapakaa kote duniani wapi zaidi tu ya Afrika hii?

Hiyo michoro ya watu weusi zaidi ya hii ya Amboni, inapatika wapi kwingine duniani?
 
Unayo chuki na dharau binafsi kwa wabantu,lakini mbegu ya binadamu ikianzia kwa MTU mweusi ni mafungu matatu na vitawi vyake narudia tena ni Bantu, nilotiki na kushitiki kama nilivyo Kwisha sema, kizazi cha watu wote duniani
Unabisha kwa ushahidi gani? Misingi tuliiweka sisi, ni fact za kisayansi wa we unaletamaneno yako tu????
Hujibu maswali ya msingi unayoulizwa.

Huna facts, Huna ushahidi kwa uulizwayo.

Wewe hujui hata unatetea nini.
Yaani MTU mkongwe abebe damu ya MTU wa juzi, wakati wa misri na Ethiopia ya zamani waisraeli hawakuwepo, alafu kitabu mnachokitumia kama ushahidi na rejea biblia, cha huyo huyo myahudi, kitabu ambacho imashakubaliwa kwamba so cha kihistoria Bali ngano
 
Una joining na na Mani watu wanakuibia na kukutupiamagonjwa???? Unachekesha wewe
Wewe mwenye akili na mwasisi wa ustaarabu unakubalije kutupiwa magonjwa?

Ustaarabu ni pamoja na tiba mbadala kama hujui.

Kuibiwa na kutupiwa magonjwa ni kunatokana na Ujinga.
 
Kama mwaafrika ndio mtu aliye wahi kuwa na akili nyingi kuliko mzungu. basi muafrika tungemuona kwenye matokeo.
 
Yeah,tales za ubabaishaji sababu kwenye vitabu ulivyosoma na vyombo vingine vya habari kulikua na "authentic" tales kumhusu mtu mweupe,na hizo ndio haswaa unazipenda na kuziabudu.
Bukoba hebu msikilize mtu anaitwa azraeli, Katoa maswali yake, Bila kufuatilia nyuzi, mi nipo bize kidogo hapa ntarudi bdae kidogo, Asante ndugu
 
Uvivu na ujinga wenu kusoma haubatilishi uasilia wa mbegu asilia ya mtu mweusi, nawala kwa kuwa hauoni mwezi kipofu, haimaanishi haupo
neno Bantu Ni neno lenyewe asili yake Misri ya kale likimaanisha antu ama watu, kutoka ibada kongwe ya kuhani Anu, aliye hudumu kwenye utawala wa farao wa dola la Kwanza Namera ama Menes
13409314_f520.jpg
images (9).jpeg
nar2.jpg
nar2.jpg
images (9).jpeg
13409314_f520.jpg

Shangazi zenu hao enzi wanaishi mapangoni
Juu mfalme menes, wajomba zenu wanavunja pua, lakini wapi ushahidi haufutiki
 
Hapo hujajibu swali nililokuuliza.
Jibu swali ndipo uulize swali.

Waisraeli ni watu weusi? ni Wabantu?
Ni sawa kuhoji trafiki nae polisi, sababu kavaa sare nyeupe?? Uzeruzeru ugonjwa wa ngozi, asili ya weupe, pua nyembamba na nywele za singa ni watu weusi, na mbantu ndio wa kwanza
Mtu mweusi anambengu tatu, unaposema mweusi ni mbegu tatu, wayahudi lugha yao chimbuko lake wambulu na wamasai baba za watutsi, wasomali na wahabeshi, mwisho utasema wambulu na waamasai sio pia sio weusi??? Aina tatu za mbegu nyeusi, Bantu, kushi, niloti Hawa niloti ndio figa la wayahudi ama wa semite au wa shemu
Hata history ya darasa la tano hukusoma? Azareli, jina la malaika wa kiyahudi, kweli wamekufunga kufuli kichwani
 
Imagine"

Imagine there's no heaven
It's easy if you try
No hell below us
Above us only sky
Imagine all the people
Living for today... Aha-ah...

Imagine there's no countries
It isn't hard to do
Nothing to kill or die for
And no religion, too
Imagine all the people
Living life in peace... You...

You may say I'm a dreamer
But I'm not the only one
I hope someday you'll join us
And the world will be as one

Imagine no possessions
I wonder if you can
No need for greed or hunger
A brotherhood of man
Imagine all the people
Sharing all the world... You...

You may say I'm a dreamer
But I'm not the only one
I hope someday you'll join us
And the world will live as one
images (3).jpeg
 
Imagine"

Imagine there's no heaven
It's easy if you try
No hell below us
Above us only sky
Imagine all the people
Living for today... Aha-ah...

Imagine there's no countries
It isn't hard to do
Nothing to kill or die for
And no religion, too
Imagine all the people
Living life in peace... You...

You may say I'm a dreamer
But I'm not the only one
I hope someday you'll join us
And the world will be as one

Imagine no possessions
I wonder if you can
No need for greed or hunger
A brotherhood of man
Imagine all the people
Sharing all the world... You...

You may say I'm a dreamer
But I'm not the only one
I hope someday you'll join us
And the world will live as one
View attachment 688664
Mmhhh, haya bwana
 
Back
Top Bottom