griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
MkuuMkuu figisu alizochezewa mtu mweusi hazijafanyika ndani ya mwaka au miaka 10,ni zaidi ya miaka 500.
Waafrika jamani tutafute historia halisi ya Waafrika iliyoandikwa bila bias yoyote.
Sasa unafikiria uvamizi uliofanywa,uporoji wa mali asili na nguvu kazi,uharibifu wa ujuzi/elimu ya mwafrika,ufutaji wa utamaduni wetu,upandikizaji wa mfumo wa elimu usioendana na mazingira yote ya Kiafrika,ukoloni rasmi,ukoloni mambo leo,ubaguzi wa rangi unafikiri madhila haya yote yanaweza yakafanya mtu kusimama katika ukuu wake?Kwa msaada zaidi kama unataka kujua tafuta kitabu cha mwanahistoria nguli wa Kisenegali,anaitwa Cheikh Anta Diop kinaitwa,African Origin of Civilization, Myth or Reality. Bwana Diop alikuwepo kwenye mkutano maarufu wa UNESCO miaka ya 70 iliokua unajadili asili ya watu wa Misri ya kale,huyu bwana aliwashinda Wazungu pale alipothibitisha hoja kua lugha ya Wamisri wa kale ilikua inashabihiana sana na lugha ya kabila huko Senegali hivyo basi hao Wamisri wa kale walikua ni watu wenye asili ya weusi.Kwa maana hiyo Wamisri asili[Achana na hawa waarab unaowaona sasahivi ambao walikuja hapo baada ya Misri kutekwa na Waroma,baadae Wagiriki na ndio wakaja Ottomans(waarab)] ndio waliwafundisha akina Plato na Aristotle hiyo philosophia wanaosemekana wao ndio wababa .
Hayo yote tunafanyiwa mwafrika alikuwa wapi?
This proves afro weak marbles