Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Unahalalisha uchafuHuku uswahilini tunakula mihogo iliyotiwa kachumbari zenye nyanya zilizooza.
Na hatuharishi yani fresh tu.
So kuna kitu ambacho mimi nimekibaini...
Sijasema nahalalisha uchafu.Unahalalisha uchafu
Kuna wenye matumbo na wenye madampo.
Uamuzi ni wako kama unadampoo we Kula tu unachokutana nacho. But kama unatumbo ndg kuwa makini na vyakula vya mtaani.
Huku uswahilini tunakula mihogo iliyotiwa kachumbari zenye nyanya zilizooza.
Na hatuharishi yani fresh tu.
So kuna kitu ambacho mimi nimekibaini.
Ni kwamba unapokuwa mtu wa kuchukua caution za kiafya kwa kila kitu kuna hasara pia ambayo unaipata.
Hasara hiyo ni kupoteza immune ya kuweza kupambana na bacteria nyemelezi.
Zile kinga zikikaa mwilini bila kupata challenge zinakuwa useless na mwisho wa siku zinakufa.
Ebu fikiria hii.
Ni vichaa wangapi ambao tunawaona wakiokota vyakula vilivyooza majalalani na kuvila?
Wanalala sehemu ambayo ni unsafe wanapigwa na mbu usiku mzima na huwezi kumuona amezima eti maleria imempanda.
Maana yake ni kwamba kinga yake iko active na ina nguvu kwasababu kila siku anapokula chakula kichafu.
Mwili una adopt na kuanza ku generate kinga kuendana na mazingira hayo.
Ndio maana chungwa alilookota jalalani akala, ukipewa wewe lazima tumbo liume na kuharisha juu.
Kwa hiyo ukiangalia kwa hizo circumstances utaweza kuona mazoea yana play part kufanya kinga iwe active au passiv
Ingekuwa ukiumwa mara moja unatengeneza kinga na huumwi tena ingekuwa sawa. Lakini kwa sababu kuumwa au kuwa exposed na wadudu wa magonjwa hakutengenezi kinga ya milele, lazima tuchukue tahadhari.Huku uswahilini tunakula mihogo iliyotiwa kachumbari zenye nyanya zilizooza.
Na hatuharishi yani fresh tu.
So kuna kitu ambacho mimi nimekibaini.
Ni kwamba unapokuwa mtu wa kuchukua caution za kiafya kwa kila kitu kuna hasara pia ambayo unaipata.
Hasara hiyo ni kupoteza immune ya kuweza kupambana na bacteria nyemelezi.
Zile kinga zikikaa mwilini bila kupata challenge zinakuwa useless na mwisho wa siku zinakufa.
Ebu fikiria hii.
Ni vichaa wangapi ambao tunawaona wakiokota vyakula vilivyooza majalalani na kuvila?
Wanalala sehemu ambayo ni unsafe wanapigwa na mbu usiku mzima na huwezi kumuona amezima eti maleria imempanda.
Maana yake ni kwamba kinga yake iko active na ina nguvu kwasababu kila siku anapokula chakula kichafu.
Mwili una adopt na kuanza ku generate kinga kuendana na mazingira hayo.
Ndio maana chungwa alilookota jalalani akala, ukipewa wewe lazima tumbo liume na kuharisha juu.
Kwa hiyo ukiangalia kwa hizo circumstances utaweza kuona mazoea yana play part kufanya kinga iwe active au passive.
Wave mask na neti za nywele piaNadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari.
Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu.
Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid, minyoo, shigella na mengine lukuki. Ni wakati kwa mabwana afya kuhakikisha watu wote wanaoshika chakula kama kuandaa kachumbari, kuandaa chachandu, kukata nyama choma au kukata matunda wanavaa gloves(Wakata matunda wengi wanajitahidi kwa hili).
Hili linaweza punguza zaidi ya asilimia 50 ya magonjwa ya matumbo, baya kuliko yote likiwa vidonda vya tumbo.
View attachment 2785964
View attachment 2785965
Kachumbari hua naikataa popote paleNadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari.
Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu.
Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid, minyoo, shigella na mengine lukuki. Ni wakati kwa mabwana afya kuhakikisha watu wote wanaoshika chakula kama kuandaa kachumbari, kuandaa chachandu, kukata nyama choma au kukata matunda wanavaa gloves(Wakata matunda wengi wanajitahidi kwa hili).
Hili linaweza punguza zaidi ya asilimia 50 ya magonjwa ya matumbo, baya kuliko yote likiwa vidonda vya tumbo.
View attachment 2785964
View attachment 2785965
Mkuu unataka wote tuwe vichaa? Lifestyle hiyo?Huku uswahilini tunakula mihogo iliyotiwa kachumbari zenye nyanya zilizooza.
Na hatuharishi yani fresh tu.
So kuna kitu ambacho mimi nimekibaini.
Ni kwamba unapokuwa mtu wa kuchukua caution za kiafya kwa kila kitu kuna hasara pia ambayo unaipata.
Hasara hiyo ni kupoteza immune ya kuweza kupambana na bacteria nyemelezi.
Zile kinga zikikaa mwilini bila kupata challenge zinakuwa useless na mwisho wa siku zinakufa.
Ebu fikiria hii.
Ni vichaa wangapi ambao tunawaona wakiokota vyakula vilivyooza majalalani na kuvila?
Wanalala sehemu ambayo ni unsafe wanapigwa na mbu usiku mzima na huwezi kumuona amezima eti maleria imempanda.
Maana yake ni kwamba kinga yake iko active na ina nguvu kwasababu kila siku anapokula chakula kichafu.
Mwili una adopt na kuanza ku generate kinga kuendana na mazingira hayo.
Ndio maana chungwa alilookota jalalani akala, ukipewa wewe lazima tumbo liume na kuharisha juu.
Kwa hiyo ukiangalia kwa hizo circumstances utaweza kuona mazoea yana play part kufanya kinga iwe active au passive.
Kwani kila asokotwaye tumbo na kuarisha lazima afe? Huyo kichaa tumbo linamsokota mpaka linapona lenyewe na utamkuta amelala popote, je wewe unaweza? Kwahiyo unaona ni sawa kusimamisha shughuli zako kwa kula uchafu?Huku uswahilini tunakula mihogo iliyotiwa kachumbari zenye nyanya zilizooza.
Na hatuharishi yani fresh tu.
So kuna kitu ambacho mimi nimekibaini.
Ni kwamba unapokuwa mtu wa kuchukua caution za kiafya kwa kila kitu kuna hasara pia ambayo unaipata.
Hasara hiyo ni kupoteza immune ya kuweza kupambana na bacteria nyemelezi.
Zile kinga zikikaa mwilini bila kupata challenge zinakuwa useless na mwisho wa siku zinakufa.
Ebu fikiria hii.
Ni vichaa wangapi ambao tunawaona wakiokota vyakula vilivyooza majalalani na kuvila?
Wanalala sehemu ambayo ni unsafe wanapigwa na mbu usiku mzima na huwezi kumuona amezima eti maleria imempanda.
Maana yake ni kwamba kinga yake iko active na ina nguvu kwasababu kila siku anapokula chakula kichafu.
Mwili una adopt na kuanza ku generate kinga kuendana na mazingira hayo.
Ndio maana chungwa alilookota jalalani akala, ukipewa wewe lazima tumbo liume na kuharisha juu.
Kwa hiyo ukiangalia kwa hizo circumstances utaweza kuona mazoea yana play part kufanya kinga iwe active au passive.
Basi Kuna wale wanaouza nyama choma! Utakuta kisu na unao anaokatia nyama mbichi ndio hicho hicho anakatia nyama iliyowiva tayari kumpa mteja!!Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari.
Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu.
Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid, minyoo, shigella na mengine lukuki. Ni wakati kwa mabwana afya kuhakikisha watu wote wanaoshika chakula kama kuandaa kachumbari, kuandaa chachandu, kukata nyama choma au kukata matunda wanavaa gloves(Wakata matunda wengi wanajitahidi kwa hili).
Hili linaweza punguza zaidi ya asilimia 50 ya magonjwa ya matumbo, baya kuliko yote likiwa vidonda vya tumbo.
View attachment 2785964
View attachment 2785965
Hatuko vizuri kwenye usafi. Mungu tu anatulinda. Otherwise wote tungekuwa wagonjwa wa matumbo.Basi Kuna wale wanaouza nyama choma! Utakuta kisu na unao anaokatia nyama mbichi ndio hicho hicho anakatia nyama iliyowiva tayari kumpa mteja!!
Yaani Mungu tuuh!!
Kazi kweli kweli. Una- transfer bacteria woteBasi Kuna wale wanaouza nyama choma! Utakuta kisu na unao anaokatia nyama mbichi ndio hicho hicho anakatia nyama iliyowiva tayari kumpa mteja!!
Yaani Mungu tuuh!!