Hahaha, Unajua ni vitu vidogo sana usafi, chakula kimepikwa kwa temperatature sahihi. Vijiko vioshe kwa sabuni au 100% tempetarute.Kwani kila asokotwaye tumbo na kuarisha lazima afe? Huyo kichaa tumbo linamsokota mpaka linapona lenyewe na utamkuta amelala popote, je wewe unaweza? Kwahiyo unaona ni sawa kusimamisha shughuli zako kwa kula uchafu?
Maji siku zote yawe yanachemka pembeni ni Sanitizer. Inauwa Minyoo, Bacteria, Virus.