Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

Nilidhani Watanzania wanachukia Ushoga na Usagaji na hao wauaji wangepewa tuzo ya kumuua msagaji kumbe ndio kwanza na wao wanajinyonga kwa hofu ya kukamatwa na polisi, [emoji23] ama kweli za kuambiwa changanya na zako,

BICHWA KOMWEE njoo ujionee mauza uza huku

cocastic uko wapiii unapitwa
 
Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack Daniel Athuman Mkoani Mara.

Akizungumza jijini Dodoma Msemaji wa Jeshi la polisi David Misime amesema kuwa Mtuhumiwa mmoja kati ya hao amejinyoga kabla ya kukamatwa na Polisi baada ya kupata taarifa za kutafutuwa.

View attachment 2623875View attachment 2623876
Kazi nzuri though
 
Sasa kama wamewakamata na uhakika wanao, si wawapeleke mahakamani haki itendeke au inakua siri ili iweje? Na utasikia upelelezi bado haujakamilika.

Au ni mimi sielewi namna mambo ya intelijensia yanavyoenda?
 
Mshahara wa dhambi ni mauti. Mwanadamu huwa haelewi mpaka yamfike. Unaua halafu inaogopa kukamatwa Hadi unajinyonga, uliua kwanini?.
Kuna majinga huku yalikuwa yanashabikia sana... mwisho wa siku Majuto ni mjukuu.

Nimefurah sana haya majitu kudakwa..
Walambe kitanzi na mateso ya jela juu.
 
kumbe ndio kwanza na wao wanajinyonga kwa hofu ya kukamatwa na polisi
Umejuaje mtuhumiwa kajinyonga ?

Kasikia tetesi kwamba anatafutwa akajinyonga! Tuonyesheni coroner's report ya kujinyonga! Otherwise wamejuaje kajinyonga ?

Polisi wa Tanzania hawana accountability, yani hawana mabosi wa kisiasa wala wananchi wenye nguvu ya kuwakema, kwa hiyo wanaweza kusema lolote na huwa wanasema uongo kupindukia.

Natamani mno siku moja nikutane na afande mmoja mstaafu wa cheo cha juu wa miaka mingi nimuulize labda aniambie ni kwa nini kazi yao ni lazima iendeshwe kwa uongo wa wazi wazi namna hii ?
 
Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack Daniel Athuman Mkoani Mara.

Akizungumza jijini Dodoma Msemaji wa Jeshi la polisi David Misime amesema kuwa Mtuhumiwa mmoja kati ya hao amejinyoga kabla ya kukamatwa na Polisi baada ya kupata taarifa za kutafutuwa.

View attachment 2623875View attachment 2623876
Hawa na wengine wahalifu mnawapata lakini wauaji wa Azory Gwanda na Ben SaaNane hamuwapati kwanini? Kuna kitu jeshi lenu linaficha! Inshallah kuna siku tutakuja jua ukweli.
 
Akizungumza jijini Dodoma Msemaji wa Jeshi la polisi David Misime amesema kuwa Mtuhumiwa mmoja kati ya hao amejinyoga kabla ya kukamatwa na Polisi baada ya kupata taarifa za kutafutwa🤸🧗🧑‍🦯
 
Kasikia tetesi kwamba anatafutwa akajinyonga! Tuonyesheni coroner's report ya kujinyonga! Otherwise wamejuaje kajinyonga ?
Wamejuaje kujinyonga kwake kumtokana na hofu ya kukamatwa na siyo jambo jingine
 
Umejuaje mtuhumiwa kajinyonga ?

Kasikia tetesi kwamba anatafutwa akajinyonga! Tuonyesheni coroner's report ya kujinyonga! Otherwise wamejuaje kajinyonga ?

Polisi wa Tanzania hawana accountability, yani hawana mabosi wa kisiasa wala wananchi wenye nguvu ya kuwakema, kwa hiyo wanaweza kusema lolote na huwa wanasema uongo kupindukia.

Natamani mno siku moja nikutane na afande mmoja mstaafu wa cheo cha juu wa miaka mingi nimuulize labda aniambie ni kwa nini kazi yao ni lazima iendeshwe kwa uongo wa wazi wazi namna hii ?
Usituchoshe nenda kituoni utapata maelezo kamili, sisi habari tulizonazo ni AMEJINYONGA kwa hofu ya kubinywa mbupu huko polisi [emoji28]
 
Wawekee mawakili mkuu... ila interrogation ya mauaji ni garage ya polisi..
Hao wenzako wataondokq kabla hata ya kuonana na Judge... mwenzako mmoja ameamua kujimaliza kwa aibu ya kuua kipumbavu.
Nimependa hiyo awawekee Mawakili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna majinga huku yalikuwa yanashabikia sana... mwisho wa siku Majuto ni mjukuu.

Nimefurah sana haya majitu kudakwa..
Walambe kitanzi na mateso ya jela juu.
Huu uzi wanaupita kimya kimya huku wanasonya, nikadhani wataandamana kwenda kuwatetea mashujaa wao kumbe na wao wamejificha chini ya Meza huku wanatetemeka na wengine hadi kufuta comments za awali [emoji23][emoji119]
 
Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack Daniel Athuman Mkoani Mara.

Akizungumza jijini Dodoma Msemaji wa Jeshi la polisi David Misime amesema kuwa Mtuhumiwa mmoja kati ya hao amejinyoga kabla ya kukamatwa na Polisi baada ya kupata taarifa za kutafutuwa.

View attachment 2623875View attachment 2623876

Inafikirisha sana na kusikitisha jinsi hili jeshi linavyofanya kazi wakati mwingine wakiwa na double standard!
Tukio la kuuwa kwa Alfonzi Mawazo hadi hivi leo hakuna aliyekamatwa!
Achilia mbali lile la Lissu lilotokea mchana kweupe!
Hiyo taarifa waliyoitoa mwishoni kuna kichekesho kikubwa sana!
 
Watuhumiwa wamekamatwa na askari wetu waliobobea upelelezi.

Muda huo huo uchunguzi unaendelea kufanyika kubaini na kuwafikisha mahakamani.

Siasa za policcm
Lakini kupigwa risasi Tundu Lisu wameshindwa kuwabaini watuhumiwa. Au alitakiwa afe ili wapelelezi wabobezi wa kesi za mauaji wawanase watuhumiwa?
 
mtuhumiwa alijinyonga kwa kutumia mkanda wa suruwali .... huyu ndo atakaebeba zigo ili hali wengine wataachiwa kwa dhamana
 
Back
Top Bottom