Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

Usituchoshe nenda kituoni utapata maelezo kamili, sisi habari tulizonazo ni AMEJINYONGA kwa hofu ya kubinywa mbupu huko polisi [emoji28]
Jiongelee mwenyewe, nisiwachoshe wewe na nani, mmeo ? Unaeamini taarifa za polisi ni wewe naive, clueless, citizen.
 
Ulitumwa uniquote mbona una kiherehere sana, kama unahusika na hayo mauaji kajisalimishe mwenyewe bila hivyo mtajinyonga sana tu
 
Aiseee! Waliomuua Dr huko Tarime na Waliomuua Milembe matukio yote yamefanyika usiku kwa kificho wamekamatwa lakini waliompiga risasi lissu mchana kweupe mpaka leo hawajakamatwa.
 
Nilidhani Watanzania wanachukia Ushoga na Usagaji na hao wauaji wangepewa tuzo ya kumuua msagaji kumbe ndio kwanza na wao wanajinyonga kwa hofu ya kukamatwa na polisi, [emoji23] ama kweli za kuambiwa changanya na zako,

BICHWA KOMWEE njoo ujionee mauza uza huku

cocastic uko wapiii unapitwa
Rhabhekhaaaaaaa dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashangaaa hapooo, sasa waende wakawatetee hao watuhumiwa, si walifanya kazi ya kuokoa maadili ya kizazi hiki. Mweeeeeeh.
 
Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack Daniel Athuman Mkoani Mara.

Akizungumza jijini Dodoma Msemaji wa Jeshi la polisi David Misime amesema kuwa Mtuhumiwa mmoja kati ya hao amejinyoga kabla ya kukamatwa na Polisi baada ya kupata taarifa za kutafutuwa.

View attachment 2623875View attachment 2623876
Ok
 
Usituchoshe nenda kituoni utapata maelezo kamili, sisi habari tulizonazo ni AMEJINYONGA kwa hofu ya kubinywa mbupu huko polisi [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu uzi wanaupita kimya kimya huku wanasonya, nikadhani wataandamana kwenda kuwatetea mashujaa wao kumbe na wao wamejificha chini ya Meza huku wanatetemeka na wengine hadi kufuta comments za awali [emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waropokeee tenaaa sasa tuwasikieee, yaan nachekaa km mazurii vilee.
 
Ulitumwa uniquote mbona una kiherehere sana, kama unahusika na hayo mauaji kajisalimishe mwenyewe bila hivyo mtajinyonga sana tu
Kiherehere unacho wewe cha kuwaongelea wengine. Speak for your godamn self!

Kajinyonga, kajinyonga, ulikuwepo wakati anajinyonga ???
 
Bado kutanzua sintofahamu juu ya kifo cha nusrat hanje wa udom...wakitanzua huu utata na sintofahamu hii kuhusu hichi kifo ....ndipo nitakuwa na imani na hili jeshi.
Nusrut Hanje huyu Msaliti WA chama chake!?
 
Kiherehere unacho wewe cha kuwaongelea wengine. Speak for your godamn self!

Kajinyonga, kajinyonga, ulikuwepo wakati anajinyonga ???
Hahahahahaha kama kitahira kilichopotea njia,
Tuliwaambia Damu ya Milembe itawafata popote mtajinyonga sana bado wewe.
 
taahira ni wewe unaemini maelezo ya polisi wa bongo
kujinyonga kunatangazwa na coroner au medical examiner, sio polisi bila proof yeyote

alisikia anatafutwa na polisi akajinyonga
alikwenda kuwaonyesha wanakoficha silaha akajaribu kukimbia akapigwa risasi
polisi walipiga risasi matairi lakini moja ikampata kichwani akafia njiani akipelekwa Muhimbili

inabidi uwe bonge moja la dunderhead kuamini upuuzi kama huo
 
Huu uzi wanaupita kimya kimya huku wanasonya, nikadhani wataandamana kwenda kuwatetea mashujaa wao kumbe na wao wamejificha chini ya Meza huku wanatetemeka na wengine hadi kufuta comments za awali [emoji23][emoji119]
Wabongo maneno mengi ila waoga

Famchezo nini msukuma kaogopa kwenda kuwa mke jela kaamua ajinyonge
 
Hapo ndio hua wananiacha hoi Watanzania wenzangu, ukiwakuta kwenye keyboard wakivuja jasho kwa hasira unaweza ukasema leo nchi inapinduka kumbe wakiona bunduki na yale magwanda mbioooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] famasiala nini
 
taahira ni wewe unaemini maelezo ya polisi wa bongo
kujinyonga kunatangazwa na coroner au medical examiner, sio polisi bila proof yeyote

alisikia anatafutwa na polisi akajinyonga
alikwenda kuwaonyesha wanakoficha silaha akajaribu kukimbia akapigwa risasi
polisi walipiga risasi matairi lakini moja ikampata kichwani akafia njiani akipelekwa Muhimbili

inabidi uwe bonge moja la dunderhead kuamini upuuzi kama huo
Hilooooooo unatetemeka eeh, kajisalimishe mapema wakigonga hodi nyumbani kwako umekwishaaaaaaa tena wewe ulivyomuoga utajidumbukiza kwenye pipa la tindikali [emoji23]
#Mwenzio kajinyonga bado wewe [emoji51]
 
Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack Daniel Athuman Mkoani Mara.

Akizungumza jijini Dodoma Msemaji wa Jeshi la polisi David Misime amesema kuwa Mtuhumiwa mmoja kati ya hao amejinyoga kabla ya kukamatwa na Polisi baada ya kupata taarifa za kutafutuwa.

View attachment 2623875View attachment 2623876
Sheria ifuate mkondo wake.
 
Huyo aliyejinyonga ukute ndio mhusika mwenyewe! Kwanini ajiue kama Hana hatia?
 
umejuaje kajinyonga ?

unaamini taarifa za polisi wanaosema jambazi alijaribu kutoroka wakati anawaonyesha chaka la silaha, ikabidi wamuue ? mtuhumiwa amejinyonga chumba cha mahabusu.... you believe that nonsense ?
 
Back
Top Bottom