Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack Daniel Athuman Mkoani Mara.
Akizungumza jijini Dodoma Msemaji wa Jeshi la polisi David Misime amesema kuwa Mtuhumiwa mmoja kati ya hao amejinyoga kabla ya kukamatwa na Polisi baada ya kupata taarifa za kutafutuwa.
View attachment 2623875View attachment 2623876