Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wale jamaa ilikuwa ni kunyongwa hadharani au kutandikwa risasiIle video kwa kweli inaumiza sana. Kama ndiyo binti yangu anafanyiwa hivyo hata sijui nitafanya nini wallahi.
Nasikia kuwa hao vijana wote ni wanaulinzi wetu. Ngoja tuone itakavyokuwa lakini kama sheria itashindwa kuchukua mkondo wake kisa ni wanaulinzi ndiyo tutajua tuna jamii ya namna gani 😒
Hili suala likichukuliwa simple tutawatengeneza wabakaji wengine wa aina hii
Adhabu kali ya kifo itolewe iwe onyo kwa wengine
Ule ni unyama aisee