Watuma salamu maarufu waliotamba kwenye vipindi mbalimbali vya Redio

kuna MWALIMU KENNEDY MPEMBA nae ni mdau balaa
Siku hizi Ukisikiliza Deutsch welle (DW) na BBC kuna jamaa mmoja maarufu sana anaitwa Jumanne mpenda Amani yeye kila akipiga simu kutoa maoni yake mwishoni lazima amalize na hii kauli mbiu "ni busara Urusi Waache vita haraka" anafurahisha Sn
Kuna Filberty kyauke wa Mlandizi Tanzania, Baba Nurhat, fundi shani, Cheusi Mpambaji wa mashati Rombo,Mzee kwafi wa keni garden mzee ndemfoo(R.I.P)n.k nk
 
Pasco Mzee Wa matunda sinza
 


Aah qmamake wahah!! 2006-2007 hiyo! Kumbe nimekua aiseee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…