Watuma salamu maarufu waliotamba kwenye vipindi mbalimbali vya Redio

Zamani tulipenda sana kusikiliza redio sasa hivi sijui kwanini. Redio labda mtu asikilize kwenye gari ila nyumbani wachache sana. RFA na Kiss FM Kiss Fm. Miaka imesonga
 
Huyo Paul Msalaba nilipofika namanyere-Nkasi nilimtafuta ili nimuone kabisa kwasababu sio kwa kutuma salamu zile kwa wingi tena kila siku pale DW
Ulifanikiwa kukutana na paul misalaba wa nama nyere nkas

Mm pia niliwai kufanya Kaz pale nilimtafuta sijampat
 
Ulifanikiwa kukutana na paul misalaba wa nama nyere nkas

Mm pia niliwai kufanya Kaz pale nilimtafuta sijampat
Paul msalaba yupo mkuu....nilimpata na huyo msalaba ni baba yake,msukuma Fulani hivi wana ng'ombe wengi sana

Pale namanyere ulikuwa unafanya kazi wapi?......coz ule mji naujua vzr
 
Paul msalaba yupo mkuu....nilimpata na huyo msalaba ni baba yake,msukuma Fulani hivi wana ng'ombe wengi sana

Pale namanyere ulikuwa unafanya kazi wapi?......coz ule mji naujua vzr
Ahahaha ilikuwa Ni afsa ktk kampuni fln Sasa nilkuwa naenda marakwamara sna
 
Paul msalaba yupo mkuu....nilimpata na huyo msalaba ni baba yake,msukuma Fulani hivi wana ng'ombe wengi sana

Pale namanyere ulikuwa unafanya kazi wapi?......coz ule mji naujua vzr
Je Paulo yuko pale pale mjini au njje kidg wa mji wa nnkasi
 
Mm pia nimepita makongoros chunya lupa tingatinga
 
Kung'ombe Chacha Mrema Sukari Muhiri Obare
Mtangazaji: Muhiri Obareee
Muhiri Obare: Naaaaaaaaaaaaaam
[emoji28][emoji28] huyu jamaa naaaaam alikuwa anauwezo wa kuivuta hata dk nzima dah!
 
Je Paulo yuko pale pale mjini au njje kidg wa mji wa nnkasi
Pale pale mjini na ndio maana ikawa ni rahisi kumpata.....ni watu maarufu kwenye mji ule,tena kwasasa huyo Paul ana duka la jumla la retail shop

Nitarudi tena kwenye ule mji muda si mrefu nimepakumbuka ni almost miaka 2 sijafika
 
Kulikua poa tu...
 
Elia Mbukwa pande za Mbeya,, utazani bonge la mtu, kumbe alikuwa muuza vocha, na sasa bodaboda na mnywaji wa pombe za kienyeji,,,
Saa saba mchana enzi hizo. Dw Ujerumanj
 
Hasan Ngaptula,
Ngaliba Jongo,
Abdala kidevu wa Mahuta Shimoni,
Mhiri Obare,
Masanja Kuyanja,
 
Kuna yule wa Igoma Mwanza wakuitwa Muhili Obale muite sasa jina lake uone balaa lake. Anaitika robo saa nzima. Hiyo ilikua Radio Free Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…