Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
Hata mimi sijawahi kuvutiwa nazo,huwa nahisi zina wenyewe...
 
Nadhani hii ndio inafanya watu wazima kwa sasa kuachana na iphones,simu ni bora sana lakini hype imekuwa kubwa kupitiliza mpaka kila aliyenayo kuonekana ana akili mbovu za kufuata huo ujinga kama wapuuzi wengine.

Bill gates anatumia fold,
Jk anatumia fold,
Samia anatumia fold,
Kitenge anatumia fold pia.
Na watu wengine wengi zaidi wanatumia fold na brand nyingine tofauti na iphones.

Ukisoma kweli mtizamo wa wakaazi wa marekani walio wengi,ni kama hawaamini kama kuna maisha ya mtandao nje ya Apple ecosystem,kumbe ni ujinga unawasumbua.
 
Ukitaka kujua iphone ni nini itokee shida ya pesa halafu nyie wenye oppo na wa iphone nani atafanya biashara fasta na kuchukua mpunga. Acha kufananisha iphone na vitu vya kijinga
Kwani watu wa iphones mnapataga shida!!🀣🀣.

Mtu wa iphone unaweza kumuua lakini sio auze simu yake,ili aweke shida yake sawa.labda sababu ya historia ngumu ya jinsi alivyoipata.
 
Na huwezi Ona mtu wa iPhone akipondea simu zao ila wao wanavyojishtukia sasaa. Afu mbona iPhone bei rahisi tu jamani zimekua si wajipatie zao na wao wapunguze makasiriko
Hakuna mtu anayejishtukia,usitumie vibaya hilo neno.
Mtu katoa kongoro zake kwake mpaka kariakoo,kaenda kukabidhi 450k kachukua tecno camon 20 badala ya iphone xr,unadhani atajishtukia ukitoa iphone yako hapo???
Tatizo wengi mnaonekana mnataka engagement mnapoitoa,mkinyimwa mnaitafuta kwa nguvu,mara camera,au security nk.

Hii simu kwa sisi wazee wa low profile imeonekana kutukwaza,tusijeonekana tumebebwa na mkumbo wa IPHONE NOMA.
 
Ukitaka kujua iphone ni nini itokee shida ya pesa halafu nyie wenye oppo na wa iphone nani atafanya biashara fasta na kuchukua mpunga. Acha kufananisha iphone na vitu vya kijinga
My Wii niazime I phone Yako nipigie picha
 
Ndiyo maana huwa nakukubali
 
Na huwezi Ona mtu wa iPhone akipondea simu zao ila wao wanavyojishtukia sasaa. Afu mbona iPhone bei rahisi tu jamani zimekua si wajipatie zao na wao wapunguze makasiriko
Itakuwa inamsumbua upande wa matumizi
 
Kwani watu wa iphones mnapataga shida!!🀣🀣.

Mtu wa iphone unaweza kumuua lakini sio auze simu yake,ili aweke shida yake sawa.labda sababu ya historia ngumu ya jinsi alivyoipata.
Tunauza tunanunua toleo jingine, hapa nna 14 nataka kuisukuma πŸ˜‚
 
Hey relax…
 
Itakuwa inamsumbua upande wa matumizi

Wanasema hajataka tu ila anataka sisi tusijishaue na iPhone 14 Pro Max zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasema hajataka tu ila anataka sisi tusijishaue na iPhone 14 Pro Max zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjini maisha yako tofauti sana,wakati wewe ukiwa na laki 9 ktk acc hutulii,kuna mtu ana milioni 9 na amekausha.

Wala usishagae.
 
Wanasema hajataka tu ila anataka sisi tusijishaue na iPhone 14 Pro Max zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…