Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
Shida inaanzia kwa wanaume watumiaji , wengi kuna tatizo mahali.. Mwaka jana nilinunua I phone ya macho matatu aisee simu haikunipa amani kabisa japo nzuri mno ila kila mtu ananiangalia ,baada ya miezi miwili nikaiuza , nilichogundua preference za mtu zinaendana na tabia kwenye nguo mpaka kwenye simu.
Hata mimi sijawahi kuvutiwa nazo,huwa nahisi zina wenyewe...
 
Sio TZ tu hata Marekani. Nimekuandikia hiyo blue bubble effect ni kitu ambayo inawafanya wamarekani hasa teens wawacheke wenzao ambao hawatumii iPhone. Just google it utaona. Babu tale anasema alipokutana na didy alimshangaa kuona anatumia samsung, akamwambia achukue iPhone. Ulaya nadhani ndio hawana ulimbukeni huu. Wanakwambia kuna a smartphone na kuna iPhone.
Nadhani hii ndio inafanya watu wazima kwa sasa kuachana na iphones,simu ni bora sana lakini hype imekuwa kubwa kupitiliza mpaka kila aliyenayo kuonekana ana akili mbovu za kufuata huo ujinga kama wapuuzi wengine.

Bill gates anatumia fold,
Jk anatumia fold,
Samia anatumia fold,
Kitenge anatumia fold pia.
Na watu wengine wengi zaidi wanatumia fold na brand nyingine tofauti na iphones.

Ukisoma kweli mtizamo wa wakaazi wa marekani walio wengi,ni kama hawaamini kama kuna maisha ya mtandao nje ya Apple ecosystem,kumbe ni ujinga unawasumbua.
 
Ukitaka kujua iphone ni nini itokee shida ya pesa halafu nyie wenye oppo na wa iphone nani atafanya biashara fasta na kuchukua mpunga. Acha kufananisha iphone na vitu vya kijinga
Kwani watu wa iphones mnapataga shida!!🤣🤣.

Mtu wa iphone unaweza kumuua lakini sio auze simu yake,ili aweke shida yake sawa.labda sababu ya historia ngumu ya jinsi alivyoipata.
 
Na huwezi Ona mtu wa iPhone akipondea simu zao ila wao wanavyojishtukia sasaa. Afu mbona iPhone bei rahisi tu jamani zimekua si wajipatie zao na wao wapunguze makasiriko
Hakuna mtu anayejishtukia,usitumie vibaya hilo neno.
Mtu katoa kongoro zake kwake mpaka kariakoo,kaenda kukabidhi 450k kachukua tecno camon 20 badala ya iphone xr,unadhani atajishtukia ukitoa iphone yako hapo???
Tatizo wengi mnaonekana mnataka engagement mnapoitoa,mkinyimwa mnaitafuta kwa nguvu,mara camera,au security nk.

Hii simu kwa sisi wazee wa low profile imeonekana kutukwaza,tusijeonekana tumebebwa na mkumbo wa IPHONE NOMA.
 
Ukitaka kujua iphone ni nini itokee shida ya pesa halafu nyie wenye oppo na wa iphone nani atafanya biashara fasta na kuchukua mpunga. Acha kufananisha iphone na vitu vya kijinga
My Wii niazime I phone Yako nipigie picha
 
Ila sijawahi kumuona mtu wa Afon kaleta uzi anashambulia android.

Nyie wajomba wa android sijui mna nini?
Msichokijua, nyie ndio mnazi overrate. Sisi wengine tunaona tu ni simu kama zingine…. LAPTOP zenyewe zina brand kibaoooo,, ila kuna kundi wamejikita kwenye Lenovo, kuna kundi wao uwatoi kwa HP, mwingine anaona HP za wanafunzi yuko busy na Dell… mwingine ana MacBook..mwingine ana Acer nk

Thats life. Acheni pigo za kiwaki
Ndiyo maana huwa nakukubali
 
Na huwezi Ona mtu wa iPhone akipondea simu zao ila wao wanavyojishtukia sasaa. Afu mbona iPhone bei rahisi tu jamani zimekua si wajipatie zao na wao wapunguze makasiriko
Itakuwa inamsumbua upande wa matumizi
 
Kwani watu wa iphones mnapataga shida!!🤣🤣.

Mtu wa iphone unaweza kumuua lakini sio auze simu yake,ili aweke shida yake sawa.labda sababu ya historia ngumu ya jinsi alivyoipata.
Tunauza tunanunua toleo jingine, hapa nna 14 nataka kuisukuma 😂
 
Hakuna mtu anayejishtukia,usitumie vibaya hilo neno.
Mtu katoa kongoro zake kwake mpaka kariakoo,kaenda kukabidhi 450k kachukua tecno camon 20 badala ya iphone xr,unadhani atajishtukia ukitoa iphone yako hapo???
Tatizo wengi mnaonekana mnataka engagement mnapoitoa,mkinyimwa mnaitafuta kwa nguvu,mara camera,au security nk.

Hii simu kwa sisi wazee wa low profile imeonekana kutukwaza,tusijeonekana tumebebwa na mkumbo wa IPHONE NOMA.

Hey relax…
 
Itakuwa inamsumbua upande wa matumizi

Wanasema hajataka tu ila anataka sisi tusijishaue na iPhone 14 Pro Max zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasema hajataka tu ila anataka sisi tusijishaue na iPhone 14 Pro Max zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjini maisha yako tofauti sana,wakati wewe ukiwa na laki 9 ktk acc hutulii,kuna mtu ana milioni 9 na amekausha.

Wala usishagae.
 
Wanasema hajataka tu ila anataka sisi tusijishaue na iPhone 14 Pro Max zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutu 😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom