stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Hata mimi sijawahi kuvutiwa nazo,huwa nahisi zina wenyewe...Shida inaanzia kwa wanaume watumiaji , wengi kuna tatizo mahali.. Mwaka jana nilinunua I phone ya macho matatu aisee simu haikunipa amani kabisa japo nzuri mno ila kila mtu ananiangalia ,baada ya miezi miwili nikaiuza , nilichogundua preference za mtu zinaendana na tabia kwenye nguo mpaka kwenye simu.