Depal Steve Jobs.Maisha ni kupanga na kuchagua.
Na ndio maana kuna mwingine kila mwisho wa mwezi ananunua jeans na t shirt, mwingine mpk asikie kuna Eid.. mwingine kila akipishana na duka lazima anunue ka kitu.
Ndio kumaanisha nini🤣🤣Depal Steve Jobs.
Usilolijua ni Sawa Na usiku wa gizaYeye ndiye anadhani hivyo. Ni inferiority complex. Mtu anaweza kuwa anatumia Iphone yake bila hata kujua kama kuna mtu karibu, yeye anajishtukia. Matatizo ya umaskini haya.
Point yetu iPhone zipo overrated, hafu watumiaji mnajiona mmetusua. Ukikaa nae mezani anafunika simu mezani macho matatu yaonekane.😂😂 mpoje lakini
Anyway,, hata Vits ni toyota lkn huwezi kuilinganisha na premio
Exactly.......Ni Sawa Na Yule mtu aliekulia kwenye pesa Tangu utoto wake Na Yule aliyezipatia pesa ukubwaniShida ni mtazamo wa maana ya simu.
Ila practically watu wa maisha ya kawaida wanaotumia iphone huwa wana kama ka "ushamba"flani hivi ka kujiona wana kitu unique and special na pengine ni kweli.
Ni ngumu kumjua Tajiri mwenye tecno au infinix ila ni rahisi mno kumjua maskini mwenye iphone
HahahPoint yetu iPhone zipo overrated, hafu watumiaji mnajiona mmetusua. Ukikaa nae mezani anafunika simu mezani macho matatu yaonekane.
Kuna mtu alikua ananionaga nimeyapatia saba maisha. Siku nimekaa nae anacheki simu yangu straight akasema "nilijua macho matatu" kha.
🤣🤣🤣🤣🤣Point yetu iPhone zipo overrated, hafu watumiaji mnajiona mmetusua. Ukikaa nae mezani anafunika simu mezani macho matatu yaonekane.
Kuna mtu alikua ananionaga nimeyapatia saba maisha. Siku nimekaa nae anacheki simu yangu straight akasema "nilijua macho matatu" kha.
Haswaaa,ngoja nikupe connectionMkuu ulifanya utafiti wa kutosha kweli? Hata mabasha tunazipenda pia. Niweke kwenye sample yako ya utafiti..Na-volunteer…
Acheni ushambaWewe utakuwa chizi.
Mwenye akili timamu atakuwa amenielewa nini nilichoandika.
We level zingine. Ila majority ya hawa wanaotusumbua na iPhone za Makumbusho hatulali. Status zao picha wanapiga bafuni Cinemax watuoneshe simuHahah
Sasa mnatuconclude wazee na hao watoto wa shule mnakosea.
Mimi siwezi funikia simu kioo kudadeki. Yan nichakaze kioo changu cha simu? Kisa?
Wanasemaga iNfinix ni calculator.Ngoja sie wenye Infinix tutulie
Nawewe Ni limbukeni kumbe .....Wakiwa na maokoto hawataangaika kusema hiki wala kile, hayo yote ni sababu ya umasikini.
Watafute maokoto.
Infinix, itel na TECNO nyinyi ni watoto wa baba mmojaNgoja sie wenye Infinix tutulie
Mnaona sasa mambo yenu 😀Wanasemaga iNfinix ni calculator.
Chombo ya usafiri.. Appliance.. Kama Brenda, Rice cooker, OvenMnaona sasa mambo yenu 😀
Kwahiyo paso sio gari??
Of course iPhone za second handWe level zingine. Ila majority ya hawa wanaotusumbua na iPhone za Makumbusho hatulali. Status zao picha wanapiga bafuni Cinemax watuoneshe simu
Lakini anaingia sheliChombo ya usafiri.. Appliance.. Kama Brenda, Rice cooker, Oven
My dear huenda wewe hutambii Ila wenzako Wana ulimbukeni kinomaIla sijawahi kumuona mtu wa Afon kaleta uzi anashambulia android.
Nyie wajomba wa android sijui mna nini?
Msichokijua, nyie ndio mnazi overrate. Sisi wengine tunaona tu ni simu kama zingine…. LAPTOP zenyewe zina brand kibaoooo,, ila kuna kundi wamejikita kwenye Lenovo, kuna kundi wao uwatoi kwa HP, mwingine anaona HP za wanafunzi yuko busy na Dell… mwingine ana MacBook..mwingine ana Acer nk
Thats life. Acheni pigo za kiwaki